Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Nitajaribu, fb ads siku hz kuna mda inakua miyeyusho kwel kwel

Fb ina wateja miyeyusho wengi sana
Binafsi nimetengeneza jina instagram
Na sasa mdogomdogo natengeneza jina Tiktok

Google pia Nina business account ambayo naifanyia ads(huku Kuna wateja wamenyooka vizuri) tofauti na social media nyinginezo
 
Nasubiri darasa la kutengeneza na kuuza kucha, waje watoe elimu.
 
Fb ina wateja miyeyusho wengi sana
Binafsi nimetengeneza jina instagram
Na sasa mdogomdogo natengeneza jina Tiktok

Google pia Nina business account ambayo naifanyia ads(huku Kuna wateja wamenyooka vizuri) tofauti na social media nyinginezo
Kama una connection na darasa la kucha na nakuuza kucha za wadada ni Pm namba kwa msaada.
 
Fb ina wateja miyeyusho wengi sana
Binafsi nimetengeneza jina instagram
Na sasa mdogomdogo natengeneza jina Tiktok

Google pia Nina business account ambayo naifanyia ads(huku Kuna wateja wamenyooka vizuri) tofauti na social media nyinginezo
Instagram mm mwanzon ilikua fresh mno , ghafla tu ikaja zingua , hakuna biashara, fb nilihamia mwaka jana ilikua fresh mno ila tokea mwez wa pili ni miyeyusho, kujaa na kupyaa , wiki hii unauza wiki ijayo pata potea

Labda nijaribu google, lkn kina amina nitawapata huko kweli ? Hahahaha
 
Biashara ya kukuingizia hiyo faida na inaweza kuzidi

Ila sio chini ya 30k

Ni BODA BODA ila tu hiyo piki piki iwe yako na Uendeshe wewe mwenyewe.

Biashara nyingine ni

Biashara yangu ya kuingiza nyimbo kwenye memory card na kuwafungulia

whatsapp kina mama na kina baba wasio jua tumia simu zao.

Nakuja tena subiri nifikirie zingine.
Eeh mwanety unayatafuta mbali
 
Fb ina wateja miyeyusho wengi sana
Binafsi nimetengeneza jina instagram
Na sasa mdogomdogo natengeneza jina Tiktok

Google pia Nina business account ambayo naifanyia ads(huku Kuna wateja wamenyooka vizuri) tofauti na social media nyinginezo
Una matangazo yanayo run google ads, na Je ..yanfanya vyema.?
 
Salooon ya kike ya Kusuka tu

Ila hakikisha msusi ni wewe mwenyewe na sio mtu mwingine

Nyingine ni

Kutengeneza kucha za kina dada ila tu hakikisha

Wewe mpaka rangi ndio BOSS sio uajiri kijana apake watu rangi.
Kwa nn iwe hivi kiongozi
 
Back
Top Bottom