Nitajaribu, fb ads siku hz kuna mda inakua miyeyusho kwel kwel
Kama una connection na darasa la kucha na nakuuza kucha za wadada ni Pm namba kwa msaada.Fb ina wateja miyeyusho wengi sana
Binafsi nimetengeneza jina instagram
Na sasa mdogomdogo natengeneza jina Tiktok
Google pia Nina business account ambayo naifanyia ads(huku Kuna wateja wamenyooka vizuri) tofauti na social media nyinginezo
Instagram mm mwanzon ilikua fresh mno , ghafla tu ikaja zingua , hakuna biashara, fb nilihamia mwaka jana ilikua fresh mno ila tokea mwez wa pili ni miyeyusho, kujaa na kupyaa , wiki hii unauza wiki ijayo pata poteaFb ina wateja miyeyusho wengi sana
Binafsi nimetengeneza jina instagram
Na sasa mdogomdogo natengeneza jina Tiktok
Google pia Nina business account ambayo naifanyia ads(huku Kuna wateja wamenyooka vizuri) tofauti na social media nyinginezo
Eeh mwanety unayatafuta mbaliBiashara ya kukuingizia hiyo faida na inaweza kuzidi
Ila sio chini ya 30k
Ni BODA BODA ila tu hiyo piki piki iwe yako na Uendeshe wewe mwenyewe.
Biashara nyingine ni
Biashara yangu ya kuingiza nyimbo kwenye memory card na kuwafungulia
whatsapp kina mama na kina baba wasio jua tumia simu zao.
Nakuja tena subiri nifikirie zingine.
Una matangazo yanayo run google ads, na Je ..yanfanya vyema.?Fb ina wateja miyeyusho wengi sana
Binafsi nimetengeneza jina instagram
Na sasa mdogomdogo natengeneza jina Tiktok
Google pia Nina business account ambayo naifanyia ads(huku Kuna wateja wamenyooka vizuri) tofauti na social media nyinginezo
Mtaji wake?Biashara ya carwash inalipa sana kupata 40 mpaka 100k per day kawaida sana.
Mtaji wake?
Hii ni vifaa peke yake ?Roughly 4m
Kwa nn iwe hivi kiongoziSalooon ya kike ya Kusuka tu
Ila hakikisha msusi ni wewe mwenyewe na sio mtu mwingine
Nyingine ni
Kutengeneza kucha za kina dada ila tu hakikisha
Wewe mpaka rangi ndio BOSS sio uajiri kijana apake watu rangi.
Aisee niko hapaa mahali flani leo weekend nikihesabu gari 20 zimefikaa.. bajaji ndo halaaa weka boda bodaaa.Biashara ya carwash inalipa sana kupata 40 mpaka 100k per day kawaida sana.
Aisee niko hapaa mahali flani leo weekend nikihesabu gari 20 zimefikaa.. bajaji ndo halaaa weka boda bodaaa.
Hii ni vifaa peke yake ?
Una matangazo yanayo run google ads, na Je ..yanfanya vyema.?
Bei za kushea magari tsh ngapiCarwash inalipa kichizi weekend ndio usiseme au msimu wa mvua yani inyeshe leo kesho jua liwake utapiga kazi mpaka uchoke sometimes unapiga mpaka 140k per day.
Bei za kushea magari tsh ngapi