Ule msemo wa paka au panya hakai kwa msela hapo vipiNi ghetto langu tu linalawzuzua maduu, libalonipaisha juu, K nyama mpaka East Zuuš
View attachment 2490139
My brother's room (19yrs) is like this,
huwa naingia kutafuta vitu nanyata just Incase there's a snake!!
Kwanini mko hivi??
Masheji wa kike ama kiumeNaandika hivi kwa hisia kuna mwamba kaoa mwaka juzi ila nyumba imejaa mashemeji tu
Aisee wewe ni mvivu sana, manzi anaingiaje kwenye hilo gethoNi ghetto langu tu linalawzuzua maduu, libalonipaisha juu, K nyama mpaka East Zuu[emoji28]
View attachment 2490139
Hatuondoki kwetu pazuri tutazeekea hapahapaNa sisi wengine Bado tunaishi kwetu msosi wa kengeleš
Mtoa mada una lipi la kukushauri?
[emoji23][emoji23][emoji23]Kitaa kigumu mkuu, wacha tu tubanane kwa kweli. Uzi umekaaa kigaidi kwa kweli. Usimfukuze shemeji yako hapo kwakoDada yako akitimuliwa na wewe umetimuliwa tu.
Dada yako akipelekewa moto ukawa unasikia kitanda kinapoga kelele asubuhi huwa mnaangaliana usoni kweli?nakuuliza wewe kijana wa kiume unayeishi kwa shemeji
Mashemeji KE wengi wanaliwa na mashemela wao.
Tokeni hapo kwa shemeji zenu,mnaweka jam
Usichanganye kusaidiwa na kuishi,jasalimie siku mbili rudi kwenu,kukaa kwa shemeji ni kukubali kuolewa wewe na dada yakoUzuri wa JF Ni kwamba wana JF wote hawajawahi kukaa kwa mashemeji zao/kusaidiwa na mashemeji zao.
Unaweza ukadhani members wa JF sio hawa hawa tunaoishi nao huku mtaani,labda Ni aliens flani hivi.