Kama unaishi kwa shemeji yako Uwe KE au ME wewe ni mke mdogo wa shemeji yako

Uzuri wa JF Ni kwamba wana JF wote hawajawahi kukaa kwa mashemeji zao/kusaidiwa na mashemeji zao.

Unaweza ukadhani members wa JF sio hawa hawa tunaoishi nao huku mtaani,labda Ni aliens flani hivi.
Unaeza hisi jf ni nchi kabisa na ina raisi wake na serikali yake tofauti na hii ya tz
 
Dada yako akitimuliwa na wewe umetimuliwa tu.

Dada yako akipelekewa moto ukawa unasikia kitanda kinapoga kelele asubuhi huwa mnaangaliana usoni kweli?nakuuliza wewe kijana wa kiume unayeishi kwa shemeji

Mashemeji KE wengi wanaliwa na mashemela wao.

Tokeni hapo kwa shemeji zenu,mnaweka jam
Wewe jamaa.
 
Kuna watu ni ndondocha mno,unaish kwa shemej ako amepanga na wew unajipachka hapo hapo kwel ,tena kula kulala...mnasababisha dada zenu kutroombwa kwa hasira!!
 
Ahaaa inakera kweli jitu lipo kwa shemeji yake linalala sebuleni
 
Kuna jamaa yangu miaka hiyo alimtembelea dada yake aliyeolewa na jamaa. Walikuwa wamepanga chumba kimoja kikubwa, sehemu ya kulala ilitenganishwa na pazia.

Sasa usiku shemeji akaanza kumpelekea moto dada, miguno na chaka kupiga kelele ilibidi jamaa asubuhi aage na lengo lilikuwa kukaa kama siku angalau tatu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Na jamaa siku hiyo anakomoa kabisa mpk manzi apige kelele
 
Back
Top Bottom