Kama unajiamini unajua kiingereza kuja hapa

Kama unajiamini unajua kiingereza kuja hapa

Only DNA can prove, msilete utoto wenu hapa JF.
Chief hiki kitu kilichoulizwa hua kinakua kama utani katika social networks nyingine. Look around, a lot of people commented in a comical manner.
 
Chief hiki kitu kilichoulizwa hua kinakua kama utani katika social networks nyingine. Look around, a lot of people commented in a comical manner.
Ni social network zingine lakini siyo JF.
 
Dad what order of your children sequence am I ?
You are confusing me my child, please elaborate[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
JF kuna jukwaa la utani, hii ilibidi iwe kule.
Asante, bora umeliona hilo, mtu ana wake 70, watoto 200 umuulize upuuzi kama huu anakujibu tu sikutambui muulize mama yako baba yako nani?
 
Asante, bora umeliona hilo, mtu ana wake 70, watoto 200 umuulize upuuzi kama huu anakujibu tu sikutambui muulize mama yako baba yako nani?
Hahahahahahaha
 
Dad Whch Number I'm I in Your Children?.....

Sijui na hii ni chenga maana hizi lugha za wenyewe ni shidaa..
 
Dad, I am the first, second, third or fourth born kid??

Ila hapa itategemea kama mko watoto wanne.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeua mkuu
 
Back
Top Bottom