barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Thamani ya elimu pia huanza kuhojiwa kwa mtu mmoja mmoja pale mtu anapohitimisha kitu ambacho kiukweli amekaa kwenye keyboard na kuamua kufanya hitimisho bila ushahidi wowote.Ni amri kutoka juu, hapa ndipo ninashindwa kuelewa thamani ya elimu ya wasomi wetu kama hawawezi kusimamia wananachokiamini.
Hapa elimu yetu lazima tuihoji kwa nguvu zote ni wapi ina mapungufu.
Nafikiri wenye moral authority ya kuhoji elimu waachwe waihoji.