Kama unajijua hauko vizuri Kichwani usipende sana kuvalia Suti kwani unaidhalilisha

Kama unajijua hauko vizuri Kichwani usipende sana kuvalia Suti kwani unaidhalilisha

Kumbe suti ni vazi la heshima sana? Sijui kwanini waheshimiwa sana Yesu na Muhammad hawakuliendekeza....

Anyways... maadam linavaliwa na watu wenye heshima zao usukumani kama mzee wa kipande cha Dar na mzee wa kuombewa... mi acha niendelee kutinga matisheti na majinsi ili nisifanane nao. Siku maalum ntakuwa natinga kanzu kama waheshimiwa viongozi wa kiroho...
Kwani kuna ulazima wa kutaja kabila? This doesn't sound right, be careful with what you decide to expose from your skull!! Tribalism worshiper
 
suti ina watu wake bana
ukivaa suti ukinunua kitu usiombe chenji,usitembee umbali mrefu kwa miguu
usiongee sana
 
Back
Top Bottom