Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,258
- 20,386
Kwani kuna ulazima wa kutaja kabila? This doesn't sound right, be careful with what you decide to expose from your skull!! Tribalism worshiperKumbe suti ni vazi la heshima sana? Sijui kwanini waheshimiwa sana Yesu na Muhammad hawakuliendekeza....
Anyways... maadam linavaliwa na watu wenye heshima zao usukumani kama mzee wa kipande cha Dar na mzee wa kuombewa... mi acha niendelee kutinga matisheti na majinsi ili nisifanane nao. Siku maalum ntakuwa natinga kanzu kama waheshimiwa viongozi wa kiroho...