barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Thamani ya elimu pia huanza kuhojiwa kwa mtu mmoja mmoja pale mtu anapohitimisha kitu ambacho kiukweli amekaa kwenye keyboard na kuamua kufanya hitimisho bila ushahidi wowote.Ni amri kutoka juu, hapa ndipo ninashindwa kuelewa thamani ya elimu ya wasomi wetu kama hawawezi kusimamia wananachokiamini.
Mbona hamdai vielelezo mnaposoma hizo habariThamani ya elimu pia huanza kuhojiwa kwa mtu mmoja mmoja pale mtu anapohitimisha kitu ambacho kiukweli amekaa kwenye keyboard na kuamua kufanya hitimisho bila ushahidi wowote.
Hapa elimu yetu lazima tuihoji kwa nguvu zote ni wapi ina mapungufu.
Kwa hiyo "amekengeuka"Hakuna ' Muumin ' mzuri wa Dini aliye ' bogus ' wa Kiwango kile. Na Mimi ' Kilio ' changu ni kutuvalia ' Suti ' leo kisha kutuaminisha jambo fulani halafu hata Saa 24 hazijapita unakuja tena na ' Suti ' nyingine kutuomba radhi na ' midevu ' iliyosimama vibaya utafikiri mchicha mbichi.
Naomba kielelezo kuwa ni maagizo toka juu.Mbona hamdai vielelezo mnaposoma hizo habari
Tuwe nao Mara ngapi?Tunapoelekea Tanzania tutakuja kuwa na ' Maprofesa ' wendawazimu sana kwani tayari dalili za awali zimeanza kujidhihiri / kujionyesha.
GENTAMYCINE kwa sehemu kubwa hawa wakubwa wanaandikiwa hotuba, hata ripoti huandaliwa. Kwa mazingira yalivyo sasa, kuna uwezekano mkubwa watu wakachomeka mambo yao (si unajua chagaa walivyo sasa). Na ndiyo maana mimi huwa sipendi kuletewa hotuba yangu mwisho mwisho, huwa nataka ije mapema niisome nione kama ina leta maana. Ripoti huwa sipendi ije mwisho, lazima niisome nione kama inaleta maana, na siyo kuwa na vifungu vya kuchomeka chomeka. Unakumbuka Bloomberg, mbona nao hivyo hivyo walikosea.Lijitu zima kabisa linatoka kwake Mkewe na Watoto wake wanamuona kabisa jinsi alivyounyuka / alivyopendeza na Vazi lenye ' heshima ' kubwa duniani na nahisi hata huko Mbinguni pia la ' Suti ' halafu anatuaminisha kwa ' ujumbe ' wake ambao pengine alikuwa nao mwezi mzima halafu hapo hapo hata Saa 24 hazijapia ' Jitu ' hilo hilo hata ' aibu ' halina linakuja kutuomba radhi kwa ' ujumbe ' wake wa Kitango Pori ( Uwongo ) huku ' likiwa ' limevaa ' Suti ' nyingine.
Ombi kama unajijua hauna ' akili ' sawa sawa acha kulidhalilisha ' Vazi ' linaloheshimika la Suti. Halafu tujitahidi pia na kunyoa ndevu zetu au kuzifanyia ' ukarabati ' kidogo ili ziendane na ' hadhi ' zetu.
Naomba niishie hapa tafadhali.
Nawasilisha.
Unaweza kuta na wewe unavaaga suti eti
Sasa mimi mpika chapati wa Kwamtogole utanifananisha na le professorNaomba kielelezo kuwa ni maagizo toka juu.
Hahahaaaa!Sasa mimi mpika chapati wa Kwamtogole utanifananisha na le professor
GENTAMYCINE kwa sehemu kubwa hawa wakubwa wanaandikiwa hotuba, hata ripoti huandaliwa. Kwa mazingira yalivyo sasa, kuna uwezekano mkubwa watu wakachomeka mambo yao (si unajua chagaa walivyo sasa). Na ndiyo maana mimi huwa sipendi kuletewa hotuba yangu mwisho mwisho, huwa nataka ije mapema niisome nione kama ina leta maana. Ripoti huwa sipendi ije mwisho, lazima niisome nione kama inaleta maana, na siyo kuwa na vifungu vya kuchomeka chomeka. Unakumbuka Bloomberg, mbona nao hivyo hivyo walikosea.
Nimecheka kweliHayo ni Moja kati ya mapungufu ya mwanadamu, Mungu ameclick kitufe wamepoteana, wameona waombe radhi kupunguza pressure ya baadae