Kama unajitafuta nje ya Dar es salaam, sahau kuhusu utajiri

Kama unajitafuta nje ya Dar es salaam, sahau kuhusu utajiri

Endeleeni kuamini ni Pumba! Lakini Dar watu wanabadili maisha ila wanaopotea ni wengi kuliko wanafanikiwa!
Hapa Dar usipojisimamia kila siku madeni na kuishi maisha ya kusadikika huku mob psychology ndo uangamivu wa vijana wengi!
Weka simu pembeni pombe zikiisha ndio uendelee kutumia simu.
 
Weka simu pembeni pombe zikiisha ndio uendelee kutumia simu.
Kama kileo kiko kichwani pako jiongelee wewe! Kama unaishi Dar na unaamini kuwa ndo sehemu pekee unaweza kutoka ni wewe!
Ila usijidanganye na kudhania ya kuwa watu wa Dar pekee ndo wana fursa ya kufanikiwa na kwa taarifa yako vijana wengi wa Dar maisha yao ni tia maji tia maji!
Hata Mo Dewji aliwahi kusema vijana wengi wa mikoani wana pesa kuliko wa Dar!
Na Mo hapo alipo ndo kaajiri vijana wengi na ndo anawalipa posho ya elfu nane kwa siku!
 
Dar hata kama una elimu ndogo ya msingi maisha utayaweza. Dar ni kuzuri kuna fursa nyingi za kutengeneza hela kuliko mikoani
Hata IQ ya mkaazi wa Dar ni kubwa kuliko ya watu wa Mkoani. Kwanza sio kila binadamu wa hapa Tz anayeweza kuishi Dar. Kuishi Dar kunahitaji akili kubwa sana na iliyochangamka hasa.

Kitendo cha kuishi Dar tu basi jihesabu wewe ni shujaa hasa. Dar hakuna kusaidiana kitu na hakuna cha kusema nakwenda kula chakula kwa rafiki yangu au kwa shangazi.

Darasa la 7 wa Dar ana mawazo mapana kuzidi form 6 wa mkoani . Na form 4 wa Dar ana mawazo mapana kuliko mwenye Bachelor degree wa mkoana na diploma wa Dar ana uelewa mpana sana kimaisha kuliko mwenye master degree wa mkoa na degree wa Dar kiuelewa wa maisha ni zaidi ya PhD aliyepo Mkoani.

Kondakta wa Dar ni mjanja kuliko dereva wa manispaa mikoani
 
Back
Top Bottom