Weka simu pembeni pombe zikiisha ndio uendelee kutumia simu.Endeleeni kuamini ni Pumba! Lakini Dar watu wanabadili maisha ila wanaopotea ni wengi kuliko wanafanikiwa!
Hapa Dar usipojisimamia kila siku madeni na kuishi maisha ya kusadikika huku mob psychology ndo uangamivu wa vijana wengi!
Kama kileo kiko kichwani pako jiongelee wewe! Kama unaishi Dar na unaamini kuwa ndo sehemu pekee unaweza kutoka ni wewe!Weka simu pembeni pombe zikiisha ndio uendelee kutumia simu.
Hata IQ ya mkaazi wa Dar ni kubwa kuliko ya watu wa Mkoani. Kwanza sio kila binadamu wa hapa Tz anayeweza kuishi Dar. Kuishi Dar kunahitaji akili kubwa sana na iliyochangamka hasa.Dar hata kama una elimu ndogo ya msingi maisha utayaweza. Dar ni kuzuri kuna fursa nyingi za kutengeneza hela kuliko mikoani