ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Nakuunga mkono mkuuMaisha mapambano,kujiongeza ndiyo mpango. Katika kukabiliana na hii kutu ya vifunga mlango nimeamua kuanzisha kampuni ya kufanya kampeni. Nina uhakika wa tenda za kutosha kama mnavyoona hali ilivyo. Tukitoka Buyungu tunaelekea loliondo nk nk.
Nina mikakati kabambe nahitaji vipaji vyote vilivyopo duniani. Tuungane tafadhali...inalipa.
Hi ni fursa kabambe mkuu.sijui nilizubaaje,ningekuwa mbali sana.Nakuunga mkono mkuu
Nakuunga mkono mkuu. Njoo inboxMaisha mapambano,kujiongeza ndiyo mpango. Katika kukabiliana na hii kutu ya vifunga mlango nimeamua kuanzisha kampuni ya kufanya kampeni. Nina uhakika wa tenda za kutosha kama mnavyoona hali ilivyo. Tukitoka Buyungu tunaelekea loliondo nk nk.
Nina mikakati kabambe nahitaji vipaji vyote vilivyopo duniani. Tuungane tafadhali...inalipa.
Njoo pm tuyajenge. Idea itaibiwa hapa.Mfunga vipaza sauti nipo
Wewe!!!shetani hachagui mbuyu,atakayefika bei ndiyo wetu.Tuwasiliane mkuu ila inategemea na upande tutakaokua tunaupigia kampeni. Tuwasiliane
Hivyo vyote tunavihitaji.mambo ya ajabu yanahitaji vipaji vya ajabu pia.Wengine tunavipaji vya ajabu.