Kama unakipaji chochote njoo tufungue kampuni.

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
7,491
Reaction score
8,304
Maisha mapambano,kujiongeza ndiyo mpango. Katika kukabiliana na hii kutu ya vifunga mlango nimeamua kuanzisha kampuni ya kufanya kampeni. Nina uhakika wa tenda za kutosha kama mnavyoona hali ilivyo. Tukitoka Buyungu tunaelekea loliondo nk nk.
Nina mikakati kabambe nahitaji vipaji vyote vilivyopo duniani. Tuungane tafadhali...inalipa.
 
Nakuunga mkono mkuu
 
Nakuunga mkono mkuu. Njoo inbox
 
Back
Top Bottom