ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Maisha mapambano,kujiongeza ndiyo mpango. Katika kukabiliana na hii kutu ya vifunga mlango nimeamua kuanzisha kampuni ya kufanya kampeni. Nina uhakika wa tenda za kutosha kama mnavyoona hali ilivyo. Tukitoka Buyungu tunaelekea loliondo nk nk.
Nina mikakati kabambe nahitaji vipaji vyote vilivyopo duniani. Tuungane tafadhali...inalipa.
Nina mikakati kabambe nahitaji vipaji vyote vilivyopo duniani. Tuungane tafadhali...inalipa.