Kama unakopesheka CRDB kakope umsomeshe mwanao

Kama unakopesheka CRDB kakope umsomeshe mwanao

SIKUBALIANI NA WEWE.

NAWASHAURI VIJANA WAKOPE HESLB TUU KWA SABABU HIZI:

1. KAMA WATAFANIKIWA KUAJIRIWA HAPO BAADAYE WAJUE UCHUNGU WA PESA UKOJE. WATOTO WA SIKU HIZI WAMEKUA KWA SPOON FEEDING NYANJA ZOTE, HAWAJUI MAISHA KABISA KWA HIYO SIKU WAKIPATA AJIRA WAKAANZA KUKATWA AKILI ZITAWAKAA SAWA.

2. SERIKALI HAIJAFANYA ANALYSIS YA ELIMU YENYE TIJA KABISA. VYUO VIMEJAA KOZI NYINGI AMBAZO HAZINA FUTURE MBELENI KABISA. SASA YA NINI KUHARIBU PESA YAKO KUSOMESHA MTOTO WAKATI HUNA UHAKIKA KAMA ATAAJIRIWA?
YA NINI MZAZI UINGIE HASARA? BORA UWAPE HASARA HAO HAO HESLB.

CONCLUSION: KULIKO KUCHUKUA MKOPO NA KUMSOMESHA MWANAO CHUO KIKUU NI BORA UMPE HIO PESA KAMA MTAJI AKISHAMALIZA CHUO ILI AANZE NAYO MAISHA.


Umeandika lakini hujajibu hoja na unaelekea hujui kitu. Watumish ndio wanaojua maumivu ya hiyo bodi na sheria zake alizosaini Magufuli. Kwa kifupi ni kwamba JPM si salama kwa mustakabali na ustawi wa watumishi hasa sekta ya umma.

Ni mvunjaji wa sheria za utumishi na maigizo kibao. Rejea kikotooo cha mafao alichokihairisha, kushindwa kuongeza mishahara na marupurupu yake, watu kufanya kazi zaidi ya masaa nane bila posho, madeni ya malimbikizo ya mishahara na posho hayalipwi na wengine kufukuzwa kazi n. k
 
Hezilabu ndo nini. Sisi wa kule ikungu lya bajingi hatujui hiyo benki ya hesilabu
 
Hauwezi kuchukua mkopo wa Bank Kama mzazi alafu ukasomeshe huu ni zaidi ya ujinga.Hakuna investment ya aina hii,ukope pesa Bank ili ukasomeshe mwanao kweli?

Rai yangu.Ingawa Mimi nimesoma lakini Elimu ya juu haina maana kwa graduate kwa Dunia ya Leo hivyo mzazi/mlezi my recommendation chukua mkopo mpe mwanao aanzishe Biashara
 
Hauwezi kuchukua mkopo wa Bank Kama mzazi alafu ukasomeshe huu ni zaidi ya ujinga.Hakuna investment ya aina hii,ukope pesa Bank ili ukasomeshe mwanao kweli?

Rai yangu.Ingawa Mimi nimesoma lakini Elimu ya juu haina maana kwa graduate kwa Dunia ya Leo hivyo mzazi/mlezi my recommendation chukua mkopo mpe mwanao aanzishe Biashara
Kabla ya biashara kwanza anatakiwa apate elimu ya biashara kwa kina unaweza kukopa million 10 na kumpa ila mambo yasiende km unavyodhani.

Unaweza kumpa mtoto mtaji mzuri tu after 1year akafilisika mkaanza kushikana uchawi bure..

Kwangu Mimi elimu na biashara vianaenda pamoja.

Ili uwe mjasiriamali/mfanya biashara mzuri elimu ni muhimu Sana.
Hivyo tusidharau elimu.
tujisahihishe!
 
Kaka nimazoea watanzania zaidi ya 40% tunauwezo wa kusomesha watoto wetu isipo kua tuna dhana potofu kuona kwamba kua masikini/mnyonge ni sifa fulani natumezoea kuomba msaada kwa serikali ambao ni gharama kuliko kujitafutia mwenyewe, tunahitaji new "mind set" ili kuweza hu mfumo wa ubepari/ capitalism...sio rahisi mfanya kazi/mfanya biashara kushindwa ku save laki 8 kwa mwaka ili alipe ada ya mwanae...... " if you think education is expensive try ignorence "...wataalamu wanasema
Ada kila mtu ana uwezo wa kulipa. Wewe unaishi Dar, mwanao anasoma St. Augustine Mwanza, ale, alale, apate stationeries. We nadhani ada ni issue?
 
Hauwezi kuchukua mkopo wa Bank Kama mzazi alafu ukasomeshe huu ni zaidi ya ujinga.Hakuna investment ya aina hii,ukope pesa Bank ili ukasomeshe mwanao kweli?
Rai yangu.Ingawa Mimi nimesoma lakini Elimu ya juu haina maana kwa graduate kwa Dunia ya Leo hivyo mzazi/mlezi my recommendation chukua mkopo mpe mwanao aanzishe Biashara
Watoto wengi baada ya kidato cha 6 ni empty headed. Unampa milioni 10 kafilisika mnashikana uchawi ndani? Kwa mfanyabiashara wa kawaida kukopa mil 3 kumsomesha mwanao ni faida sababu ni investment....kisha kopa hiyo mil 10 umpe mtaji. Msomeshe kwanza.
 
Poleni sana...
Cc: mahondaw
Wape pole wanaolipa mkopo. Mimi silipi tena. Niliwahi kulipa wakati nimeajiriwa....ajira yangu ya pili nilivyohama kampuni wakawa hawanikati kabisa. Boda ni kama mazuzu hata hawafuatilii kujua kama mtu huyu alikua analipa siku hizi yuko wapi? Ever since nimeacha kuajiriwa hata hawajui niko wapi.
 
ningelijua ningeishia semister ya 5 as if nimedisco mkataba uvunjike kama ni knowledge nimeshapata vyeti ni makaratasi tu nimeviwekea fremu vinaning'inia ukutani kwa sababu nilishajiapia sitokaa niajiriwe
Unadhani ukidisco ndo haulipi????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakati mwingine mzazi ana uwezo, anang'ang'ania mkopo wa Bodi ili ile kwako baadaye. Hata hivo, mkopo wa Benki hauwezi kuwa cheaper kuliko bodi
 
"Mkopo ni gari" nimejikuta naikumbuka starlet yangu niliyonunua kwa mkopo
Kweli aisee ni bora huo mkopo wa heslb unalipa pole pole na kama hauna kazi unapumzika kulipa.
Lakini mkopo wa benki hawawez kukusuburia ujipange ukivuka muda wa malipo wanakuja kunadisha assets zako including nyumba yako unayolala.
 
Wakati mwingine ana uwezo, anang'ang'ania mkopo wa Bodi ili ile kwako baadaye. Hata hivo, mkopo wa Benki hauwezi kuwa cheaper kuliko bodi
Ofcoz mkuu.. Maana riba za bank nyingi ni 10% kila mwaka sijui soo ni balaaa... Loan boad wameweka 6..
 
Wape pole wanaolipa mkopo. Mimi silipi tena. Niliwahi kulipa wakati nimeajiriwa....ajira yangu ya pili nilivyohama kampuni wakawa hawanikati kabisa. Boda ni kama mazuzu hata hawafuatilii kujua kama mtu huyu alikua analipa siku hizi yuko wapi? Ever since nimeacha kuajiriwa hata hawajui niko wapi.
Nilikuwa najua mjanja niko peke yangu. Khaaa!
 
Mzazi kumkopea mwanafunzi ada ya chuo ni kumlemaza mtoto.mwache akopwe ajue maisha si lelemama.Boom ni mshahara hivyo utumike vizuri.Nikikopa ntaendelea kuumia mimi mwache tu akopwe kama ata honga na bash ya kijinga itakuka kwake
 
Sitakubali watoto wangu kujaza hizo fomu za bodi ya mikopo muda wao wa kujiunga na chuo utakapowadia! Nina muda wa kutosha wa kuwaandalia future zao! Mola anijalie uzima na afya njema! Inshallah!
 
Ofcoz mkuu.. Maana riba za bank nyingi ni 10% kila mwaka sijui soo ni balaaa... Loan boad wameweka 6..
10% ya bank reducing ni ndogo kuliko hiyo ya board. BTW ili ukopesheke lazima uwe na biashara au kazi yenye guarantee ya mshahara.
 
Kimsingi Bodi ya Mikopo sio tatizo,tatizo ni sheria zinazopitishwa,na hakuna mtetezi,huyo anayejinasibu kutetea wanyonge ndiye anayesaini sheria kandamizi (huwa najiuliza huyu anaelewa anachokisema?),then huwa nashangaa wanaomsifia,wanajielewa kweli?
Toka 8% hadi 15% huku bado tathimini ya mishahara haijafanyika kwa kada mbalimbali,matokeo yake kada zenye mishahara midogo ndio zinateseka na kuishi maisha ya stress (rejea matukio ya walimu vs wanafunzi,ni kila leo,mara mwalimu kaua,mara kamjeruhi mwanafunzi n.k) ni stress tupu,hakika wameanza kuishi kama mashetani..
>Deni la Bodi halieleweki,linaenda mbele linarudi nyuma,mara nasikia kuna deni halisi na deni la kwenye salary slip (niko tayari kusahihishwa),ya kwamba deni halisi lipo bodi(wanalijua) ufike wakuonyeshe ili ukiona makato hayashuki kwenye salary slip usishtuke..
>Deni la Bodi lina riba mbilimbili,mara 6% baki ya deni kila mwaka,mara 15%,it's better wangekua na figure moja,kama ni 18%,20%,au 21%
•°Mkopo ulenge kumsaidia mwananchi mnyonge,hii system ya marejesho imulikwe upya,la sivyo vijana watasota sana kupata maendeleo baada ya ajira...
 
Nishatoa nyuzi mbili humu kuhusu hii bodi

Haifai ni uharo uharo kabisa na sijui kwanini hadi leo wakuu wanaufumbia macho huu utumbo unaofanyika huko

Mwanangu hatosoma kwa boom tukijaaliwa nitafanya lolote ninalowezekana
 
Tumepiga kelele sana juu ya uhuni tunaofanyiwa na bodi ya mikopo lakini serikali imekaa kimya huenda taarifa haziwafikii, natamani ningekuwa na uwezo wa kumfikia JPM nikamueleza maasi wanayofanyiwa wanufaika wa mikopo but kumbe sina uwezo huo
 
Wanaoweza wote ni vema wakalipia kikamilifu elimu ya juu ili kuwaepusha watoto wao na adha ya kudaiwa na HELSB.

Wasioweza hakuna namna nyingine - wachukue hiyo mikopo huku jitihada zikiendelea za kushinikiza masharti nafuu.
 
Back
Top Bottom