darcity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2009
- 9,101
- 18,055
Umeandika lakini hujajibu hoja na unaelekea hujui kitu. Watumish ndio wanaojua maumivu ya hiyo bodi na sheria zake alizosaini Magufuli. Kwa kifupi ni kwamba JPM si salama kwa mustakabali na ustawi wa watumishi hasa sekta ya umma.SIKUBALIANI NA WEWE.
NAWASHAURI VIJANA WAKOPE HESLB TUU KWA SABABU HIZI:
1. KAMA WATAFANIKIWA KUAJIRIWA HAPO BAADAYE WAJUE UCHUNGU WA PESA UKOJE. WATOTO WA SIKU HIZI WAMEKUA KWA SPOON FEEDING NYANJA ZOTE, HAWAJUI MAISHA KABISA KWA HIYO SIKU WAKIPATA AJIRA WAKAANZA KUKATWA AKILI ZITAWAKAA SAWA.
2. SERIKALI HAIJAFANYA ANALYSIS YA ELIMU YENYE TIJA KABISA. VYUO VIMEJAA KOZI NYINGI AMBAZO HAZINA FUTURE MBELENI KABISA. SASA YA NINI KUHARIBU PESA YAKO KUSOMESHA MTOTO WAKATI HUNA UHAKIKA KAMA ATAAJIRIWA?
YA NINI MZAZI UINGIE HASARA? BORA UWAPE HASARA HAO HAO HESLB.
CONCLUSION: KULIKO KUCHUKUA MKOPO NA KUMSOMESHA MWANAO CHUO KIKUU NI BORA UMPE HIO PESA KAMA MTAJI AKISHAMALIZA CHUO ILI AANZE NAYO MAISHA.
Naombeni msaada wenu sana..!
Habari za Jumapili wana jamvi.. Naombeni msaada kwa mwenye ujuzi juu ya hili. Nataka nisome Diploma ya Clinical medicine mwaka wa masomo 2019/2020 na vigezo vyote vilivyopo kwenye Nacte quide book ninavyo. Wasiwasi wangu upo hapa, Mimi ni graduate wa bachelor degree mwaka 2018 na siku soma...www.jamiiforums.com
Ni mvunjaji wa sheria za utumishi na maigizo kibao. Rejea kikotooo cha mafao alichokihairisha, kushindwa kuongeza mishahara na marupurupu yake, watu kufanya kazi zaidi ya masaa nane bila posho, madeni ya malimbikizo ya mishahara na posho hayalipwi na wengine kufukuzwa kazi n. k