Carnivora
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,650
- 6,015
Habari za Jumapili ndugu wa JF
Mliowahi misa ya saa 12 punde mtarejea. Na wale wa saa 3 jiandaeni. Na wale wa sala kila siku naimani mmeipata ya alfajiri kwa uwezo wake Mungu Mkuu Aliyejuu. The Merciful, The Compassionate.
Baada ya utangulizi niende kwenye mada. Sote tunafahamu wanafunzi wa kidato cha 6 walifanya mitihani yao miezi kadhaa iliyopita. Wapo waliokwenda JKT pia na wengine tunao mitaani kwetu. Japo matokeo ya hayajatoka bado bali nina imani mmeanza maandalizi ya vijana hao kwenda elimu ya juu kwa kadri matokeo yao yatakavyokuwa.
Linapokuja suala la kufund elimu ya juu wazazi wengi au walezi wamekuwa wakitegemea zaidi bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB) kama plan ya kwanza. Ndugu zangu, hiyo bodi ni jipu. Na inaonekana ina baraka zote za serikali kwa namna inavyowafanya wanufaika wa mikopo hiyo linapokuja suala zima la ulipaji wa madeni. Nitaeleza baadae.
Ndugu yangu, kama unakopesheka na benki za biashara CRDB, NMB, TPB, NBC, n.k wewe nenda huko kaombe mkopo msomeshe mwanao. Tena muusie mwanao aombe vyuo vya serikali ili kupunguza gharama za ada na mambo mengine. Kwa mfano kwa vyuo vingi vya serikali ukikopa mil 3 inatosha kwa mwanao kuanza nayo chuo akamaliza semester zote mbili. Nyingine gharama ndogo ndogo mnajichanga amalize mwaka. Mwaka ukiisha kule CRDB na deni lako la mil 3 limekwisha, unakopa tena mwaka unaofuata. Maisha hivyo hivyo yaendelee. Ingawa wanafunzi hawataki kabisa kusikia suala la kutokuwa na boom, lakini muusie mwanao asijihusishe nalo kabisa. Watu wanalia kwa sasa.
Hao HESLB ni janga, janga kubwa. Kila siku wanalipa mikopo yao lakini deni halipungui. Na wanadai ukistaafu bado una deni eti wanakata pension yako. Mwajiri wako anaweza kuwa anakukata makato ya mkopo kwenye mshahara wako na hapeleki bodi ya mkopo, ukiwaendea HESLB wanasema sio kazi yao kumuwajibisha mwajiri apeleke!! Ni kichekesho. Sasa ni jukumu la nani? Ina maana wao wakae tu ofisini wasubiri maajabu yatokee? Mbona wenzao mifuko ya hifadhi za jamii wana kitengo cha kufatilia makusanyo...why not with HESLB?
Mfano umemaliza chuo unadaiwa mil 10 na bodi. Na ukapata ajira, tuseme una uwezo wa kulipa mil 2 kwa mwaka sababu ya kiwango chako cha mshahara. Mwisho wa mwaka utakuwa unadaiwa mil 8. Wao watakucharge 6% ya mil 8. Ambayo ni 480k. Kwa hiyo deni lako ni mil 8.48. Hivi hesabu hizi wamezipata wapi? Na kwanini? Mbona huko CRDB mtu anakopa mpaka miezi 84 (miaka 7) na riba ni ile ile. Kama ni 9% ni hiyo hiyo miaka yote. Ushajiuliza mwanafunzi wa udaktari aliyesomeshwa kwa miaka 5 na bodi ambae anadaiwa zaidi ya mil 30 hilo deni analimaliza baada ya miaka mingapi? HESLB is a disgrace.
Achana na hiyo 6% ya kila mwaka kwenye outstanding amaount. Kuna penalty ya 10% kwa kuchelewesha kulipa deni katika muda unaotakiwa. Ongezea 1% administration fee. Mkopo wa bodi ni ghali kuliko wa bank yoyote ile hapa Tanzania. Kama una uwezo wa kukopa kusomesha wanao fanya hivyo. Achana kabisa na hao jamaa. Ni wanyonyaji wenye baraka za serikali. Mikopo hiyo inawalenga watoto wa masikini, JPM huwaita wanyonge, lakini ndio anawanyonga kupitia hiyo bodi na sheria aliyosaini mwenyewe mwaka 2016. Akaweka na marejesho ya 15%.....hivi hapo kuna kuwajali wanyonge? kwa mshahara wa TGS D laki saba na ngapi sijui huyo mtu anabaki na Sh ngapi take home? Kijana huyo ndio aoe na asomeshe naye familia yake? They (sirikaali) must be kidding.
Nchi hii umasikini ndio uzalendo? People nowadays hawademand receipt after purchases, it doesn't help them anymore? 1.5T inapotea who cares? Halafu mimi nilipe mkopo wa HESLB, njooni mnikamate kama mnaweza. Silipi hata senti moja.
Msomeshe mwanao mwenyewe. Acha a na hilo dude linaoitwa bodi ya mikopo. Ni janga.