KAMA UNALEA MTOTO WA KIUME WA SINGLE MAZA ANZA KUJIKOKI

Kijana wa Kizimkazi 2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2026
Posts
4,842
Reaction score
10,164
Wadau ukweli usemwe tu bila kificho Kijana unapoingia kwenye ndoa na single maza mwenye mtoto wa kiume tambua umeingia kwenye vita. Huyo mtoto uliyemkuta usije ukajifanya ni baba yake otherwise atatunza kumbukumbu zote akija kujua ukweli umeisha. Ni bora wewe ukamwambia ukweli tu siyo baba yake mzazi ili kukwepa kipigo. Hakuna mtoto wa kiume anayekubali mama yake ashenyentwe na mwanaume mwingine vinginevyo atamhesabu kama malaya. Sasa usiogope cha kufanya piga pushup 6 kwa siku hadi akue huyo mtoto utakuwa kama Tyson akileta za kuleta unaye.
Choice is you
 
Hawana shida kabisa ,jitathimini blaza, huwenda wewe ndio unatatizo🤔
Screenshot_2026-06-21_000515.jpg
 
Unakuta mtoto wa huyo single Maza ako na macho mekundu kama Raila Odinga due baba yake ni mtafuna miraa wa huko Machakos. Nashangaa vile huko Tizii munavyojijeopardize.
 
Hawana shida mbona tena wanafuraha sana akiwa na mtu wa kumwita baba...

Kuna likizo nilirudi home nikanunua barmaid,alikua ni bartender yupo kaunta siku ya kwanza nikamzidishia nusu ya hela aliyotaka,sometime naenda bar nachek mpira namnunulia pombe kama fair na siondoki nae...
Tulifanya kama week hivi,..siku moja nipo home alikuja analia anasema mwanae ana miaka 2 na anaumwa na yeye hana hela hata nauli tu ya kurudi mbeya kwa mtoto,anaongea na mama ake kwenye simu wapo hosptal analia mno...
Nikampa 150k alienda akakaa kama mwez aliporudi hakufikia bar alifikia kwangu na anataka kukaa na mimi na amekuja na mtoto wake "IRHAN" mtoto anaita baba mpaka home wakajua mwanangu...

Nilimpangia room nikampa na kianzio alitaka afungue juice point,
akafungua,akaacha kuuza bar na ameolewa ila kamwambia bwana wake kwamba irhan ni mwanang na jamaa ananiheshim mno...
saiz mtoto yupo daras la 4 na kila likizo lazma aende nyumban kwa mama akamsalimie,hat now yupo home
na ananipenda kuliko wanangu wakuwazaa
 
Yan mademu kibao hom alafu nikawe wakufunga penalt kwa sing maz
 
Kweli Mkuu Single Mother ili wawe na Amani wanatakiwa waolewe au Wawe na Mahusiano na Mwanaume mwenye watoto zaidi ya Wawili, lakini Single mother akiolewa au akiwa na Mahusiano au akiolewa na Kijana ambaye hana Watoto mambo yanakua Magumu
 
Wadau ukweli usemwe tu bila kificho Kijana unapoingia kwenye ndoa na single maza mwenye mtoto wa kiume tambua umeingia kwenye vita. Huyo mtoto uliyemkuta usije ukajifanya ni baba yake otherwise atatunza kumbukumbu zote akija kujua ukweli umeisha. Ni bora wewe ukamwambia ukweli tu siyo baba yake mzazi ili kukwepa kipigo. Hakuna mtoto wa kiume anayekubali mama yake ashenyentwe na mwanaume mwingine vinginevyo atamhesabu kama malaya. Sasa usiogope cha kufanya piga pushup 6 kwa siku hadi akue huyo mtoto utakuwa kama Tyson akileta za kuleta unaye.
Choice is you
Uongo
 
Hawana shida mbona tena wanafuraha sana akiwa na mtu wa kumwita baba...

Kuna likizo nilirudi home nikanunua barmaid,alikua ni bartender yupo kaunta siku ya kwanza nikamzidishia nusu ya hela aliyotaka,sometime naenda bar nachek mpira namnunulia pombe kama fair na siondoki nae...
Tulifanya kama week hivi,..siku moja nipo home alikuja analia anasema mwanae ana miaka 2 na anaumwa na yeye hana hela hata nauli tu ya kurudi mbeya kwa mtoto,anaongea na mama ake kwenye simu wapo hosptal analia mno...
Nikampa 150k alienda akakaa kama mwez aliporudi hakufikia bar alifikia kwangu na anataka kukaa na mimi na amekuja na mtoto wake "IRHAN" mtoto anaita baba mpaka home wakajua mwanangu...

Nilimpangia room nikampa na kianzio alitaka afungue juice point,
akafungua,akaacha kuuza bar na ameolewa ila kamwambia bwana wake kwamba irhan ni mwanang na jamaa ananiheshim mno...
saiz mtoto yupo daras la 4 na kila likizo lazma aende nyumban kwa mama akamsalimie,hat now yupo home
na ananipenda kuliko wanangu wakuwazaa
Si unajua bado kinda huyoo
Una bahati ulijiongeza kumpangishia.
 
Wadau ukweli usemwe tu bila kificho Kijana unapoingia kwenye ndoa na single maza mwenye mtoto wa kiume tambua umeingia kwenye vita. Huyo mtoto uliyemkuta usije ukajifanya ni baba yake otherwise atatunza kumbukumbu zote akija kujua ukweli umeisha. Ni bora wewe ukamwambia ukweli tu siyo baba yake mzazi ili kukwepa kipigo. Hakuna mtoto wa kiume anayekubali mama yake ashenyentwe na mwanaume mwingine vinginevyo atamhesabu kama malaya. Sasa usiogope cha kufanya piga pushup 6 kwa siku hadi akue huyo mtoto utakuwa kama Tyson akileta za kuleta unaye.
Choice is you
Ila hakuna kitu kibaya kama kukosa exposure.
Au kuwa na exposure na kushindwa kuitumia.
 
Hawana shida mbona tena wanafuraha sana akiwa na mtu wa kumwita baba...

Kuna likizo nilirudi home nikanunua barmaid,alikua ni bartender yupo kaunta siku ya kwanza nikamzidishia nusu ya hela aliyotaka,sometime naenda bar nachek mpira namnunulia pombe kama fair na siondoki nae...
Tulifanya kama week hivi,..siku moja nipo home alikuja analia anasema mwanae ana miaka 2 na anaumwa na yeye hana hela hata nauli tu ya kurudi mbeya kwa mtoto,anaongea na mama ake kwenye simu wapo hosptal analia mno...
Nikampa 150k alienda akakaa kama mwez aliporudi hakufikia bar alifikia kwangu na anataka kukaa na mimi na amekuja na mtoto wake "IRHAN" mtoto anaita baba mpaka home wakajua mwanangu...

Nilimpangia room nikampa na kianzio alitaka afungue juice point,
akafungua,akaacha kuuza bar na ameolewa ila kamwambia bwana wake kwamba irhan ni mwanang na jamaa ananiheshim mno...
saiz mtoto yupo daras la 4 na kila likizo lazma aende nyumban kwa mama akamsalimie,hat now yupo home
na ananipenda kuliko wanangu wakuwazaa
Sawa
Ila mbona matukio mengi yametokea haraka haraka sana.
 
Back
Top Bottom