Kama unampa pesa kila mnapofanya mapenzi, hapo mimba ikiingia ni yake peke yake.

Kama unampa pesa kila mnapofanya mapenzi, hapo mimba ikiingia ni yake peke yake.

Ko mpenzi ndo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wa kutoa bure [emoji3]

Bure utapewa na mkeo

Aah kwanza hata kwe mke kwenyewe bado utatoa hela
Kama ni hivyo basi tuwe single mpk mwisho wa uzee[emoji16][emoji16]
 
Kuna Manzi mmoja nilikuwa nae siku nzima halaf mda wa kusepa niko-pause Kwanza nisikilizie daaaah kumbe napo kosa nikajikuta Niko single Tangu alivyotoa miguu magetoni.
 
Kuna Manzi mmoja nilikuwa nae siku nzima halaf mda wa kusepa niko-pause Kwanza nisikilizie daaaah kumbe napo kosa nikajikuta Niko single Tangu alivyotoa miguu magetoni.
Hata me sirudi tena nakublock kabisa 😀
 
Habari!
Kama kichwa kinavyosema.
Kama huwa unamlipa pesa kila mnapofanya mapenzi nj vyema ijulikane kuwa hiyo ni biashara kamili. Hata kama hakutajii kiwango rasmi au hakushikii badtola ili umlipe.
Kwa jina lolote lile iwe hongo, matunzo, nauli, ya kula, ya sabuni n.k maadamu tu inalipwa kila mnapofanya hiyo ni biashara.
Mapenzi sio kandambili kwamba zinaumia zenyewe tu kila uchwao.
Ikiingia mimba hayo ni matokeo ya biashara, mmoja akiambukizwa gono au VVU atulie tuli asimlaumu mwenzake.
MImba ni ya yule ambayo iko tumboni mwake .
BIashara haina neno kuachana. Mmoja akiona haina maslahi kwake anapotea na hapaswi kulaumiwa na mwingine.
Kama unajua unatembea na malayer kwa nini usitumie condom.. Unafurahia kuzalisha zalisha ovyo alaf ety na ww uitwe mwanaume kweli.
 
Hela ya mwanaume jamani ni tamu we ita utakavyopenda ila toa tu, hata kama anazo kukuzidi we mpege tu
 
Back
Top Bottom