Kama unampango wa kujenga chukua huu ushauri

Moro amefanya kaz Dar kufanya ukimuambia mkoa nadhani anajua yeye afanyeje ni local kitu cha kisasa anachotumia ni waterpumb tu vingine vyote ni local kuchimbia anatumia nondo kubwa sijui mm ngap ile ila ni linondo likubwa sana alafu limechongwa mbele ncha Kali ,na anachimba kisima kinakuwa duara anaudongo special anamix na cement ya dangote anasiliba mle pembeni kuimarisha na juu anajengea mfuniko wa chuma kigumu wa round
Sasa hata akija si mpka afanye survey kwanza ?
 
Hizo ni za wale jamaa wa mfumo wa kisasa ambao unaprocedure nyingi kuja kudetect maji kama yapo kipimo unatakiwa ulipie laki 5 alafu wao wanachukua sample ya kira udongo kira tabaka wanapeleka maabara kuufanyia laboratory water examination ili kujua mineral composition zilizopo
Lakini inasemwa kwamba gharama huoengezeka kutegemea na umbali maji yalipo?(sina uhakika sana na hili)

Namaanisha hicho kiasi cha pesa hapo,yupo atakaechimba kwa mill 8 yupo wa 13mill still yupo atakaechimba kwa 4mill.
 
Vipi mkaa nao unasaidia?
 
Pamoja na huo ushauri mzuri lkn unatakiwa kutoka ndani ya box
 
Anaemhitaji anitafute call or WhatsApp 0757735884 jiandae kutoa connection fees 20000
Nb Mimi ni fundi kwahio msije jua ni boss
Nimeweka connection fees sababu ye haijui hata mitandao na ni mtu mzima hata smart phone kwahio najua hata mmoja akimpa kaz akileta ushuuda atapata zingine sasa promo zote ninazopiga lazima na Mimi mtoa connection nipoze koo


Kingine Mimi ni mnyakyusa kawaida yetu sio vigeugeu au wafitin nikuambia kitu yes ni yes no ni no had naliteta jambo hapa jukwaani ninauhakika nalo na atakae mfanyia kaz ninauhakika atakuja kutoa shukrani mnisamehe kwa kutaja kabila nikaonekana naendeleza ukabila lengo lilikuwa ni kuonyesha msisitizo tu
 
Angalizo ukishachimba kisima inatakiwa ujenge stand ndefu angalau 7m ili ukiweka mantaki juu maji yawe na pressure ya kutosha maji yakiwa na pressure ya kutosha hata heater hazitakuwa zinaungua sababu hazitumii nguvu nying na pumb inayotakiwa ni ya horse power 1.5
 
Huy kisangani si alishafiriki kwa ajali au mwingine?
 
Kisangani ye alishafariki imebaki familia yake na ndo mwenye majengo ya biashara mbeya ya heshina kuna jengo lingine liko block t kawapangisha wale dreamz lile shirika linalodeal na ukimwi ana majengo mengi ukiachana na yaliyo highway
Yule jamaa alijiwekeza sana kwenye majengo ya biashara pamoja na spare parts.
 
Mzee kiufupi kaacha familia kwenye maisha mazur aliwambia hizo Mali inatakiwa had wajukuu wazitumie sijui nani aliemchoreaga ramani ,maana wapangaji wake ni taasisi hasa bank ,kuna kule uhindini nako anamjengo kapangisha wamarekani
Kwa Dar anamjengo wake wa ghorofa msimbazi street amepakana na marehemu sadri chini maduka tu ya spare frame zote.
 

Yes mimi nazungumzia wa Machine ,hawa wa kunzunguka na mirunda ni risk ,hawa wa mashine wapo wengi ,price zao nadhani zinarange 50k-70k per meter.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…