mboga TZ
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 444
- 503
Moro amefanya kaz Dar kufanya ukimuambia mkoa nadhani anajua yeye afanyeje ni local kitu cha kisasa anachotumia ni waterpumb tu vingine vyote ni local kuchimbia anatumia nondo kubwa sijui mm ngap ile ila ni linondo likubwa sana alafu limechongwa mbele ncha Kali ,na anachimba kisima kinakuwa duara anaudongo special anamix na cement ya dangote anasiliba mle pembeni kuimarisha na juu anajengea mfuniko wa chuma kigumu wa round
Sasa hata akija si mpka afanye survey kwanza ?