Kinachonikasirisha zaidi anaagiza mavyakula ya bei yaani mkitoka hapo menu inasoma 50k nilivyo masikini natamani kumwambia hiyo hela ya msosi anipe 40k hiyo 10k tukale chips tunashiba kabisaa
Uzuri yeye ndio amelazimisha angenifuata nilipo chenchi ingebaki ila kwasababu anataka kujionesha ana hela ndio aende expensive place alitakiwa anipe nauli