Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AhahaaaaaDunia haitomsahau Gabriel Villa, mwanasheria kwa taaluma aliyefanya pia kazi ya uwakala wa usafirishaji.
Bwana huyu mwaka 1994 alikutana na mwanadada mrembo Christina Carta kwenye sherehe
Wawili hawa wakapendana na hatimaye kufunga ndoa licha ya kuwa Gabriel alimzidi mrembo huyo miaka 30.
Tajiri huyo mara tu baada ya kufunga ndoa alimpeleka mkewe nchini Jamhuri ya Dominica kwenye visiwa vya nchi hiyo kula maisha kwa miezi minne.
Na waliporudi waliishi pamoja kwenye ndoa ya furaha kubwa kwa miaka 20.
Baada ya miaka hiyo ishirini ya kuishi pamoja hatimaye wawili hawa waligombana na Mwanamke akaenda kudai talaka kisheria ili wagawane mali.
Lakini baada ya kufuatilia taratibu hizo za kisheria, Wanasheria wa Mwanamke huyo walimjulisha kuwa bwana Gabriel alimtaliki mke wake huyo miaka 20 iliyopita bila yeye kujua hivyo kwa miaka yote hiyo hawakuwa wanaishi kwenye ndoa.
Kumbe bwana, ile fungate bwana Gabriel aliyompeleka mkewe nchini Jamhuri ya Dominican alitumia pia mwanya huo kuandikisha talaka kabisa kwa mkewe bila mwenyewe kujua kwani kwa wakati huo ni nchi ya Jamhuri ya Dominican pekee ndiyo iliyokuwa inaruhusu kisheria talaka kutolewa bila mmoja wapo kujua.
Mwamba huyu alipoulizwa alisema alijua kuwa siku moja Mwanamke huyo angetumia mbinu ya kudai talaka ili kuchukua mali zake hivyo alijiandaa mapema😀
NDUGU YETU HUYU ANAPASWA KUPEWA CHEO GANI😀😅?
👇👇👇
Credit : Dar 24...
hahahNAshauri
HAKIMI abaki na uenyekiti wa chama,
Ila uyo Mwamba apewe uenyekiti wa bodi ya wadhamini wa chama (UWABATA)[emoji1]
Usipovizia utaviziwa,[emoji23][emoji23]
What's the point ya kukaa unaviziana na mtu!!!
Zamu yenu Sasa, mtajuA hamjui[emoji1]Twafwaaaaaaa
Mlianzisha haya mambo sasa yanaenda kupata mbadala wakeTwafwaaaaaaa
HapanaHivi tuseme hela zako nyingi ukahamisha kwenye account ya mama yako wakati mko kwenye ndoa. Halafu mtalakiane mke aombe mgawane nusu kwa nusu je itawezekana mahakama kumlazimisha maza azitoe kwenye account yake?
Mwamba kabisaDunia haitomsahau Gabriel Villa, mwanasheria kwa taaluma aliyefanya pia kazi ya uwakala wa usafirishaji.
Bwana huyu mwaka 1994 alikutana na mwanadada mrembo Christina Carta kwenye sherehe
Wawili hawa wakapendana na hatimaye kufunga ndoa licha ya kuwa Gabriel alimzidi mrembo huyo miaka 30.
Tajiri huyo mara tu baada ya kufunga ndoa alimpeleka mkewe nchini Jamhuri ya Dominica kwenye visiwa vya nchi hiyo kula maisha kwa miezi minne.
Na waliporudi waliishi pamoja kwenye ndoa ya furaha kubwa kwa miaka 20.
Baada ya miaka hiyo ishirini ya kuishi pamoja hatimaye wawili hawa waligombana na Mwanamke akaenda kudai talaka kisheria ili wagawane mali.
Lakini baada ya kufuatilia taratibu hizo za kisheria, Wanasheria wa Mwanamke huyo walimjulisha kuwa bwana Gabriel alimtaliki mke wake huyo miaka 20 iliyopita bila yeye kujua hivyo kwa miaka yote hiyo hawakuwa wanaishi kwenye ndoa.
Kumbe bwana, ile fungate bwana Gabriel aliyompeleka mkewe nchini Jamhuri ya Dominican alitumia pia mwanya huo kuandikisha talaka kabisa kwa mkewe bila mwenyewe kujua kwani kwa wakati huo ni nchi ya Jamhuri ya Dominican pekee ndiyo iliyokuwa inaruhusu kisheria talaka kutolewa bila mmoja wapo kujua.
Mwamba huyu alipoulizwa alisema alijua kuwa siku moja Mwanamke huyo angetumia mbinu ya kudai talaka ili kuchukua mali zake hivyo alijiandaa mapema[emoji3]
NDUGU YETU HUYU ANAPASWA KUPEWA CHEO GANI[emoji3][emoji28]?
Mkuu kuna uzi mmoja. Mwanasheria kauanzisha. Una majibu ya maswali mengi sana likiwemo hili, na ni kwa mujibu wa sheria za TZHivi tuseme hela zako nyingi ukahamisha kwenye account ya mama yako wakati mko kwenye ndoa. Halafu mtalakiane mke aombe mgawane nusu kwa nusu je itawezekana mahakama kumlazimisha maza azitoe kwenye account yake?
Weka hiyo link tusomeMkuu kuna uzi mmoja. Mwanasheria kauanzisha. Una majibu ya maswali mengi sana likiwemo hili, na ni kwa mujibu wa sheria za TZ