Kama unamuona Hakimi ni hatari, Basi wacha nikujuze kuhusu huyu mwamba

Kama unamuona Hakimi ni hatari, Basi wacha nikujuze kuhusu huyu mwamba

Kwa hiyo kwa sasa tuubadili ule msemo wa nyani halioni....? Na sasa iwe " nyani analiona......? Hah hah
 
Matajiri wanatumia umafia wenye mantiki na akili ndani yake. Nilimsomaga huyu bwana tangu mwaka 2008 πŸ˜‚

Ila wanawake ni wanyama hatari sana! Story kama hizi vijana wangu walio broke ndo wanazipenda kwelikweli na kuzifurahia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸΎ

TAFUTENI HELA NA NYINYI MUWE NA JEURI ZA NAMNA HII OTHERWISE AIBU HAZITAWAACHA SALAMA
 
NAshauri
HAKIMI abaki na uenyekiti wa chama,
Ila uyo Mwamba apewe uenyekiti wa bodi ya wadhamini wa chama (UWABATA)[emoji1]
Mwamba alitisha sana[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom