Kama unapata changamoto hizi Dar nenda mikoani

Kama unapata changamoto hizi Dar nenda mikoani

Multi-skilled

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2023
Posts
909
Reaction score
3,476
Kama unapata changamoto hizi Dar nenda mikoani bado nchi hii ina ardhi kubwa sana tena yenye rutuba na fursa nyingine nyingi

1. Unaamka saa kumi kuwahi Gari
2. Unafika kwako saa nne usiku na kuendelea sababu ya changamoto za usafiri
3. Kipato chako kinaishia kwenye kodi na usafiri
4. Unaishi zaidi ya kilomita 40 kutoka eneo lako la kazia
5. Maisha yako ni joto, mbu na kugombania dala dala
6. Muhanga wa mafuriko kila mwaka

Nakuhakikishia mikoa 27 iliyibaki ukitoa Dar ndipo ulipoandikiwa kutoboa

Kumbuka kuteseka sio sifa na hakuna kombe la kuteseka

Ni mtazamo tu
 
Yote haya yamesababishwa na serikali ya Samia kutokujenga miundombinu ya kutosha ili kurahisisha usafiri badala yake pesa nyingi zimeelekezwa loyal tour na faida tuliyopata na hiyo loyal tour yake hakuna kitu.
 
Back
Top Bottom