Kama unapata changamoto hizi Dar nenda mikoani

Kama unapata changamoto hizi Dar nenda mikoani

Bila kusahau ka gari
Screenshot_20250308-121351.png
 
Ni kweli Dar ni pagumu ila kuna mzunguko mkubwa wa pesa tofauti na huko mbwinde.

Huko mbwinde hayo mazao utayoenda kulima utapata faida ndogo tofauti na ukiwa mtu kati wa mazao hauohayo ukiwa dar .

Mimi na ndgu zangu Poor Brain (huyu harudi kwao mpitimbwi) na Intelligent businessman (huyu hatudi kwao kaborando) hatuondoki dar, hili jua litatuchapa mpaka tutoboe dadeki.
Mzee mi niko nanjilinji 😁
 
Mateso, umaskini sio sifa kabisa. Yan naunga mkono hoja japokuwa ni rahis kwa mtu asiokuwa na mbele wala nyuma kupata mchongo wa kufanya dar kuliko songea mfano jana nlikuwa sina hela ila ndani nlikuwa na bidhaa fulan za computer nikafungua app ya jiji nikatafuta wanaofanya biashara ya kuuza hizo bidhaaa tukanegoshiate bei nikachagua mwenye bei nzuri nikampelekea akanipa laki tatu zangu leo najua ntaangalia mpira kwa namna nnayotaka mimi, ila kama ingekuwa ruvuma ningepata wapi wateja zaidi ya mmoja ambaye unampigia simu saa nane saa tisa biashara inafanyika ? Mkuu mapambano ni popote ila DAR mwisho wa matatizo, pamoja na mateso yoote wanayopata watu ila wana nyumba wana familia na wanasomesha watoto hadi vyuoni na maisha yanaenda hata ukienda Manhattan kuna watu hawajiwezi ila huwatoi kule...

Mzee mi niko nanjilinji 😁
Ufuta unasemaje hapo mkuu MADINI ya lindi
 
Ni kweli Dar ni pagumu ila kuna mzunguko mkubwa wa pesa tofauti na huko mbwinde.

Huko mbwinde hayo mazao utayoenda kulima utapata faida ndogo tofauti na ukiwa mtu kati wa mazao hauohayo ukiwa dar .

Mimi na ndgu zangu Poor Brain (huyu harudi kwao mpitimbwi) na Intelligent businessman (huyu hatudi kwao kaborando) hatuondoki dar, hili jua litatuchapa mpaka tutoboe dadeki.
Kaka mi sikai huko bana 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 yaani unatuchagulia wenzako majina mabaya mabaya et mpitimbwi ndo wapi huko mkuu
 
Kama unapata changamoto hizi Dar nenda mikoani bado nchi hii ina ardhi kubwa sana tena yenye rutuba na fursa nyingine nyingi

1. Unaamka saa kumi kuwahi Gari
2. Unafika kwako saa nne usiku na kuendelea sababu ya changamoto za usafiri
3. Kipato chako kinaishia kwenye kodi na usafiri
4. Unaishi zaidi ya kilomita 40 kutoka eneo lako la kazia
5. Maisha yako ni joto, mbu na kugombania dala dala
6. Muhanga wa mafuriko kila mwaka

Nakuhakikishia mikoa 27 iliyibaki ukitoa Dar ndipo ulipoandikiwa kutoboa

Kumbuka kuteseka sio sifa na hakuna kombe la kuteseka

Ni mtazamo tu
Eti hakuna kombe la kuteseka hahaha.
Watu wanaweza kuchukulia huu uzi kama komedi au kejeli lakini huu ndio ukweli.
Nakumbuka mara ya kwanza kwenda kufanya kazi mkoani nilienjoy sana,nilikuwa naamka saa moja asubuhi naoga na kupika chai nakunywa kisha saa moja na dakika 45 naanza kutembea mdogomdogo ikifika saa mbili kamili tayari nishafika ofisini,jioni saa kumi na moja kamili tunamaliza kazi saa kumi na moja na robo nishafika nyumbani kwangu nimepumzika,nalala kidogo kisha naamka saa 3 kwenda nje kutafuta mahali pa kupata dinner na kurefresh mind,saa tano narudi tena kulala hadi asubuhi.
Ni maisha mazuri sana hayana stress wala huwezi kusinzia kwenye daladala kwa maana una masaa mengi sana ya kulala nyumbani
 
Naaaam
 
Kaka mi sikai huko bana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] yaani unatuchagulia wenzako majina mabaya mabaya et mpitimbwi ndo wapi huko mkuu
Ni Mpitimbi, kakosea kuandika.
Afu ndo kwetu sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Njooni huku kanda ya ziwa fursa kibao

Dar nilikimbia sababu ya foleni unawah kutoka home unarudi usiku mnene!
 
Back
Top Bottom