Je kwako amani ni kitu gani?? Yaani kuwa na amani ni kuwa na nini?
1.njaa??????????????
2.umaskini???????????
3.wizi????????
4. Ujinga????
Yawezekana hujui ,lengo la nyerere baada ya uhuru alibainisha maadui wanne - ujinga,umaskini,magonjwa na unyonge je unaridhika vitu hivyo vimetoweshwa na serkali ( watawala ) wa tanu na ccm??? Je kungekuwa na haja gani kuwaondoa wakoloni ikiwa bado leo miaka 49 ya uhuru rais anatuambia asinge fululiza kwenda nje tungekufa njaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!? je maishani mwako umewahi kutukanwa tusi kama hilo??????????