kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Jana usiku nilikuwa zangu tu nipo kitandani nimelala, sasa mimi nilikuwa na exgteytion yangu mkononi, Mara nikasikia baba huyo mwanangu panda bus basi na treiont mimi nikajiuliza hivi huyu mimi au mbona naenda sokoni na wakati ni usiku?
Zawadi zile za ghtiobt alikuwa nazo dada yangu uku tukiwa tunapandisha mlima ule, Yeye akasikia anasema si mbuzi yule kafika vipi uku mama akasema achana naye kuna polisi.
Basi tukakaa hapo mpaka jioni mke wa kaka yangu akachukua kuni mbili akaruka juu watu tukacheka haaaaa ni atari. Sasa yule basi si akafika hapo kuongeya na yule jirani yake sisi tukawa tuna subiri baba afike Tutoke ndani ya nyuma. Yaani nilifurahi saana kweli maisha ni safari fupi.
Sent using Jamii Forums mobile app