Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Je, una kitambi?
Je, una manyama uzembe ambayo unataka yaondoke?
Je, una michirizi ya unene?
Je, una ngozi kavu kwenye nyayo na visigino ?
Je, una shepu isiyovutia Na ungetamani uibadilishe kwa njia za asili?
Je, una ngozi yenye mafuta?
Je, una meno ya njano au shida yoyote ya meno?
Je, una chunusi, harara au mabaka kwenye ngozi yako?
Je, una chuki kwa waliokuzidi mali ?
Je, una wivu kwa aliyemchukua ex wako mara tu mlipoachana ?
....basi pole sana kiongozi