Kama unasumbuliwa na mambo yafuatayo, nitafute.

Chrismoris

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Posts
14,113
Reaction score
17,645
Je, una kitambi?

Je, una manyama uzembe ambayo unataka yaondoke?

Je, una michirizi ya unene?

Je, una ngozi kavu kwenye nyayo na visigino ?

Je, una shepu isiyovutia Na ungetamani uibadilishe kwa njia za asili?

Je, una ngozi yenye mafuta?

Je, una meno ya njano au shida yoyote ya meno?

Je, una chunusi, harara au mabaka kwenye ngozi yako?

Je, una chuki kwa waliokuzidi mali ?

Je, una wivu kwa aliyemchukua ex wako mara tu mlipoachana ?

....basi pole sana kiongozi
 
Nahitaji nguvu za kiume, utanisaidiaje mkuu [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom