mkongwe augusty
Member
- Jul 10, 2013
- 26
- 1
Ndugu zangu Watanzania, natoa Uzi huu kwa masikitiko makubwa.
Mi ni mwanafunzi Wa hapo st. Joseph arusha campus, typo home tunasubiri hat a yetu kwani tuligoma kuingia darasani mwezi Wa 8 kutokana na chuo kukosa mtaala wa kufundishia.
Toka tumeripoti chuon halo mwaka jana mwez Wa kumi hatukupewa prospector wala curriculum wakati huo tunachukua bachelor of science in education lakini hatufundishwi coz hizo badala yake tunaimbishwa nyimbo za watoto wa chekechea darasani.
Tumefatilia hadi TCU wanasema chuo hawakijui wakati sisi tumechaguliwa na hao TCU kwenda chuoni hapo. Mbaya zaidi wote tunasoma masomo yanayofanana uwe with mathematics, physics, chemistry, biology au computer science utafanya practical za masomo yote.
Practical zenyewe ni za kutafuta manyoya ya ndege na kuyabandika kwenye daftar. Naishangaa serikali yetu, maana anakuja mkuu wa wilaya ya arumeru kilipo chuo hcho anasema hakipo katika vyuo vya wilaya yake. Jamani watanzania epekuni ulaghai wa hawa wahindi