Kama unatafuta elimu bora, usije St. Joseph Arusha

Joined
Jul 10, 2013
Posts
26
Reaction score
1
Ndugu zangu Watanzania, natoa Uzi huu kwa masikitiko makubwa.

Mi ni mwanafunzi Wa hapo st. Joseph arusha campus, typo home tunasubiri hat a yetu kwani tuligoma kuingia darasani mwezi Wa 8 kutokana na chuo kukosa mtaala wa kufundishia.

Toka tumeripoti chuon halo mwaka jana mwez Wa kumi hatukupewa prospector wala curriculum wakati huo tunachukua bachelor of science in education lakini hatufundishwi coz hizo badala yake tunaimbishwa nyimbo za watoto wa chekechea darasani.

Tumefatilia hadi TCU wanasema chuo hawakijui wakati sisi tumechaguliwa na hao TCU kwenda chuoni hapo. Mbaya zaidi wote tunasoma masomo yanayofanana uwe with mathematics, physics, chemistry, biology au computer science utafanya practical za masomo yote.

Practical zenyewe ni za kutafuta manyoya ya ndege na kuyabandika kwenye daftar. Naishangaa serikali yetu, maana anakuja mkuu wa wilaya ya arumeru kilipo chuo hcho anasema hakipo katika vyuo vya wilaya yake. Jamani watanzania epekuni ulaghai wa hawa wahindi
 
Hao ni wasanii tu, bora ulivyosema wewe maana watu wengine anasifia lichuo lake hata kama ni ubabaishaji, pole sana muombe mungu atakusaidia kijana.
 
Duuh Ndugu pole sana kwa yalio kukuta.
lakini kwani mambo hayo unataka sema ni hata hapo st.Joseph ya Mbezi Dar au huko tu?
 
Duuuh duuh kubandika manyoya ya ndege tena....what's that mmmh Elimu hii ishauzwa namna gani hiyo sasa
 
Huo ni us...e!
Ndio maana mi nilisita kwenda...
Kama Mungu tu..
Vipeperushi kibaoo st.joseph.. st.joseph kumbe upuuz mtupu....
Pole sana mkuu
Ushaur:- tafuta chuo kingne ukasome.
 
Yaan ndg st. Joseph zote zipo hivyo katika education ila tuliogoma ni wa arusha tu. Songea, makambako na dar wanaendelea kusoma na next week ndo wanaanza end exams. Sasa jiulize vyuo vingine vinaingia mwaka mwingine wa masomo st. Joseph bado wapo vyuoni. Wito kwa ndg zangu wa st.Joseph dar mnaosoma BSE. Hivi kweli mnasoma education bila coz muhimu kama curriculum development, philosophy of education, socialogy in education, na kurudia content zinazofanana kila semester, mfano education psychology I &II. Communication skills I & II hamuoni zinafanana? Kusoma hamjui hata picha basi? Kila siku nikuimba action song darasani halafu unajiita msomi mwenye bachelor degree in science education with physics, chemistry, biology, mathematics au computer science? Acheni UFA...................................
 
Duuuh duuh kubandika manyoya ya ndege tena....what's that mmmh Elimu hii ishauzwa namna gani hiyo sasa

Jana hapa Dar watu wamepiga usaili ili waletwe huko Arusha kufundisha diploma in education lkn mishahara nasikia bora ubebe mizigo Ubungo.Kanjibahi noma sanaaaaaa
 
Hahaha hiyo ni shida aisee. ....Posho ndogo namna hiyo mmh it's terrible aisee. .
 
Jana hapa Dar watu wamepiga usaili ili waletwe huko Arusha kufundisha diploma in education lkn mishahara nasikia bora ubebe mizigo Ubungo.Kanjibahi noma sanaaaaaa
Nishidaaaaa, Ila arusha campus hakuna diploma kuna special program miaka mitano hao ndo majanga zaidi kwani topic mfano mechanics wanafundishwa siku moja imeisha, kumbuka hawa special coz wengi hawakwenda advance ila wanamezeshwa kiivyo, wanapiga paper na wanapata GPA hadi 4.9
 
Ndugu zangu Watanzania, natoa Uzi huu kwa masikitiko makubwa.

Mi ni mwanafunzi Wa hapo st. Joseph arusha campus, typo home tunasubiri hat a yetu kwani tuligoma kuingia darasani mwezi Wa 8 kutokana na chuo kukosa mtaala wa kufundishia.

Toka tumeripoti chuon halo mwaka jana mwez Wa kumi hatukupewa prospector wala curriculum wakati huo tunachukua bachelor of science in education lakini hatufundishwi coz hizo badala yake tunaimbishwa nyimbo za watoto wa chekechea darasani.

Tumefatilia hadi TCU wanasema chuo hawakijui wakati sisi tumechaguliwa na hao TCU kwenda chuoni hapo. Mbaya zaidi wote tunasoma masomo yanayofanana uwe with mathematics, physics, chemistry, biology au computer science utafanya practical za masomo yote.

Practical zenyewe ni za kutafuta manyoya ya ndege na kuyabandika kwenye daftar. Naishangaa serikali yetu, maana anakuja mkuu wa wilaya ya arumeru kilipo chuo hcho anasema hakipo katika vyuo vya wilaya yake. Jamani watanzania epekuni ulaghai wa hawa wahindi

So kaka TCU wao wana conclude vipi maana nao wanakuwa kama mafala hivi hawawez sema chuo hawakijui halafu kwenye vitabi vyao bado wanavitangaza huu ni usenge kumamake.....
So mda mlipoteza hapo wanafanyaje ujue con umaana wa TCU vyuo vingu vinaelekea kuzidi hata makanisa na misikiti sasa halafu hao st joseph huku kwetu eti wanajenga tena chuo kingne
Ujue kuna taasis zinataka kufanya hii nchi ni yao mm nafikiri hTa hawa jama ilitakiwa wachunguzwe hao TCU DAAAA pole jamani
 
sio st. joseph arusha pekee bali NI COLLEGE ZAKE ZOTE DUNIANI, ninauhakika sababu nimesoma pale luguruni kwenye college ya engineering ONE SEMESTER nikaacha. Kwa kozi nliokuwa nasoma niliona bora kuacha sababu ingekuja kuniadhibu baadae (electrical & electronics engg)
 
Yaan ndg st. Joseph zote zipo hivyo katika education ila tuliogoma ni wa arusha tu. Songea, makambako na dar wanaendelea kusoma na next week ndo wanaanza end exams. Sasa jiulize vyuo vingine vinaingia mwaka mwingine wa masomo st. Joseph bado wapo vyuoni. Wito kwa ndg zangu wa st.Joseph dar mnaosoma BSE. Hivi kweli mnasoma education bila coz muhimu kama curriculum development, philosophy of education, socialogy in education, na kurudia content zinazofanana kila semester, mfano education psychology I &II. Communication skills I & II hamuoni zinafanana? Kusoma hamjui hata picha basi? Kila siku nikuimba action song darasani halafu unajiita msomi mwenye bachelor degree in science education with physics, chemistry, biology, mathematics au computer science? Acheni UFA...................................

wahindi hawana akili na ni watu wa ajabu sana, nilishawahi kusoma college of engg. mbezi wanachokifanya ni kutumia syllabus ya Anna university regardless ni useful kwetu au laah! hata vitabu vya refference wanataka utumie vya Anna university yaani kila kitu ni Ana Anaa had kero!
 
tatizo sio wao they capitalize on nadir of govt hence Tcu,Tcu Ni wapuuzi kwanini wasiwafumgie, au wamepewa rushes, nchi hii ya ajabu saana.
 
Ishu na wewe umebugi, ulisikia wapi chuo cha enginerring kutoa bachelor ya education, Waache wale hela zenu, tatizo wengi wanajaribu elimu.

Hujawai ona mtu hata mmoja amegraduate hapo kwa hio course, sasa unategemea nini
Nyie ndio trials, wadogo zenu ndio watafaidika na hayo masomo mbeleniiiii
 
BINAFSI NIPO MWAKA WA TATU SASA , NASOMA CIVIL ENGINEERING HAPA ST JOSEPH DAR,,,HIVYO NINAO UZOEFU WA KUTOSHA KUTOA SIFA NZURI AU MBAYA ZA HIKI CHUO,,,,
1.kwa upande wa engineering hasa kwa fani yangu mimi bado sijaona mapungufu,na nilijaribu kufananisha mtaala wa st joseph na baadhi ya vyuo kikiwemo DIT NA UDSM,,niligundua sisi tunasoma mambo mengi kuliko UDSM(atakaepinga Aambatanishe mtaala wa hivyo vyuo nami nitaambatanisha),,na practical za kutosha kwa kweli hili mimi najivunia
2.NINAAMINI EDUCATION YA ST JOSEPH SIO MAHALI SAHIHI KWA MTANZANIA MWENZANGU KUSOMA,,ILA MAMBO YA IT NA ENGINEERING NINAAMINI KABISA NI WAZURI NA WANATUTENDEA HAKI.
3.Mambo mengine ukitoa mambo ya kitaaluma,,kwa kweli wanatusumbua sana.
NAWAKARIBISHA WANAOTAKA KUJIUNGA NA MAMBO YA IT NA ENGINEERING ST JOSEPH LAKINI KWA ANAETAKA EDUCATION AMEPOTEA HAPA SIO MAHALI SAHIHI
 
Back
Top Bottom