Huyu bint wa kazi ni wakutoka mkoa gani? Au ni wa dar hapa hapa.Age:18 yrs old
Salary atakayo ni 80k kuendelea.Awezacho ni kulea mtoto,watoto,wazazi wa watoto hao au kuuza duka.
Maelezo mengine ni inbox wapendwa
Umejuaje muandishi yupo "Dar hapa hapa"?!Huyu bint wa kazi ni wakutoka mkoa gani? Au ni wa dar hapa hapa.
Watu wa jf wote tunaishi dar mkuu😅😅Umejuaje muandishi yupo "Dar hapa hapa"?!
Gharama nyingine ni nauli yako tu kumtoa alipo kuja alipo na ukiona yupo vizuri kikazi waweza mwongeza salary pia….mhehe wa IringaWewe uko wapi?
Yeye anatokea wapi?
Yeye ni dini gani?
Hiyo 80K ni salary, Je hakuna gharama nyingine zozote?
watu wengi wanahisi jf ni kwaajili ya watu wa dar tu au anataka tuamini yupo townUmejuaje muandishi yupo "Dar hapa hapa"?!
Ty umehamia Iringa?mhehe wa Iringa
Sawa Ty nimelielewaAisee angalia tangazo linasemaje mkuu