Kama unatafuta nyumba ya kupanga DSM, kuna vitu vya kuzingatia usivichukulie poa!

Pole sana, sasa bora ya wewe kuna wengine wamenunua viwanja kabisa na kujenga baada ya kuenjoy mwaka tu, jirani kabisa imejengwa baa inapiga mziki mfululizo

Hapo bado haujakutana na msikiti au walokole mbona utaomba poo


Kuna muda nilielewa wale wanaokaa nje ya mji, kuna muda utulivu wa akili ndio kila kitu
 
Upo sahihi mkuu karibu sana huku kigamboni wanapangiasha hadi nyumba nzima
 

Ushauri Murua kwa wapangaji wote wa Majiji
 
Mimi haya yote yamenikumba mpk leo jiko halijakamilika, madirsha aluminum bado milango ya Choo bado, juzi nampigia anasema wiki hii mambo yatakaa Sawa miezi minne Sasa bila bila, huku pesa nilimpa mwezi mmoja kabla ili kila kitu kitimie, muda ukaisha nilipokua nakaa tukaamia hivo hivo
 
Teh teh teh πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ kweli wewe ni Akilindogosana
 
Yaani sitakaa nikarudia kulipa nyumba haijakamilika. Mi sio wa kufuata maji nje na ndoo.
 
Sawa Kijana mtafutaji
 
Unarudi home, makelele jumamosi unasema upumzike home wanakiwasha.

Aisee.
 
Yaani sitakaa nikarudia kulipa nyumba haijakamilika. Mi sio wa kufuata maji nje na
Wanaboa kichizi, bado nikanunua submeter mbili za umeme laki 2 na sabini afu anasema hii pesa hatuweki kwenye miezi Sita uliyolipa ila tutaweka miezi Sita ya mbeleni utakayolipa, shikamoo wenye nyumba, Yan kama si utulivu wa huu mtaa na ningeshafanya maamuzi magumu
 
Huyo labda wakati haujamfikia, hawezi kushindwa na ndege ama mdudu kua na makazi
 
Unarudi home, makelele jumamosi unasema upumzike home wanakiwasha.

Aisee.
Nilipokaa mwanzo ukifika ule mtaa mchana unaweza Lipa kodi ya miaka miwili ila ikifika jioni hata ukiwa unaongea na mtu ndani anaweza akuambie ingia ndani tuweze kusikilizana iilhaali wewe upo ndani, kelele za pale si mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…