Kama unataka amani ya moyo usifanye miamala siku ya jumapili kupitia CRDB

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Muamala unafanyiwa kazi masaa, customer service hawapokei, huko mitandaoni hawajibu.

This bank is ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Muamala unafanyiwa kazi masaa, customer service hawapokei, huko mitandaoni hawajibu.

This bank is ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
Ndio maana mimi bank yangu kwa sasa ni Crypto Exchanges na Wallets tu huko husumbuliwi na takataka sijui TRA, Local banks sijui serikali gani.. natoa pesa muda wowote, siku yoyote
 
Malalamiko kuihusu CRDB yamekuwa mengi sana, kuna tatizo la kiuongozi au?​
 
Ndio maana mimi bank yangu kwa sasa ni Crypto Exchanges na Wallets tu huko husumbuliwi na takataka sijui TRA, Local banks sijui serikali gani.. natoa pesa muda wowote, siku yoyote
Muamala unatokaje, nifafanulie mkuu nataka kujiunga, nasubiri kitambulisho cha nida tu mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ