Kama unataka drama katika maisha yako date mwanaume ambae hanywi

Kwaiyo wanaokesha bar ndo waminifu basi makahaba bar wangepaona pachungu
 
Nyuchi nyingi ndio zao
 
Nyie walevi mnapenda sana kusema msifuatiliwe, kwamba 'mnakula maisha' mna 'relax na kufurahi', na kwamba 'kila mtu atakufa'....

Lakini mnawasengenya sana wasiokunywa.

Pombe inaharibu sana akili na huu ni mfano mzuri tu unaothibitisha mna akili kisude.
 
Zamani nilikuwaga najua mkidate hamjunjani , date za siku hizi kama mmeoana tu,mnalala na kuamka pamoja
 
Siku hizi nyie vibinti mkiachwa au kufanyiwa jambo, mnatafuta neno/lugha ya kuwatia moyo.

Mlikuwa na ile wanaume wote mbwa, nadhani mliunganisha na baba/babu zenu pia, haya sasa ni kazi kazi kwa wasio kunywa pombe, naona kabisa kijana wa watu kakufanyia tukio si bure!.

Mpaka hapo itakuwa babako ni chakaramu kweli kweli kwenye pombe, hivyo mnaishi maisha ya ovyo hata kulala nje, maana baba kalewa hana muda wa kujua binti/wanae wapo ndani.

Mzazi hagusi glass 🍷 alafu ana majukumu yake haya leo kawa mtukutu hafai, how?.

NO!
 
Mnawapenda wakatiaji maana ni rahisi kuwaibia, hayo mengine ni ziada tu.
 
Dah! Hapa tumechafuliwa sana, hope kuna mwenzetu mmoja kayatibua huko na lawama zake tumepewa wote. Hili ni shambulio kubwa sana kwetu. Oh!

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…