Kama unataka drama katika maisha yako date mwanaume ambae hanywi

Kama unataka drama katika maisha yako date mwanaume ambae hanywi

Mnachamba mpaka watu wa mungu 🥺
Wazaramo wanasema wakimshika mwizi hawampigi.

Wanamchamba mpaka anakufa.

Sasa hapa huenda tunao pia.

Tukinywa maneno.

Tukisema tusinywe tuepuke maneno, bado maneno.

Maneno hayaishi.
 
Wakianza kukesha baa na kuchelewa kurudi nyumbani au kulala mitaroni sababu ya ulevi mnaanza kulalamika na kukesha makanisani kuomba hao waume zenu waache Pombe...

Wanawake hamueleweki mnataka nini?

Kuna yule Mke wa mchezaji wa Brazil "KaKa" alimwacha mmewe kisa eti anamjali sana na hajawahi kumkosea hata kidogo.
 
Kupenda uchi hakuna excuse, mwanaume yeyote awe anakunywa ama hanywi uchi ndio chakula chake kikuu.

Ukiona mwanaume hapendi uchi huyo ana matatizo makubwa kwa sababu uchi ndio kitu mwanaume ameumbiwa kula muda wowote.

Mimi sinywi pombe wala kuvuta sigara, bro wangu ni mlevi wa kufa mtu ila wote tunapenda uchi kama tumerogwa.

Kitu pekee kinazuia mwanaume asipende uchi ni pesa tu. Ila ukiwa na pesa uchi ndio chakula yako kuu.
 
Kwa kupenda kwichi kwichi kuliko kula, nakubali kabisa, napenda saana, ila hizo sifa nyingine zooote sina. Sio narcissist wala manupulator.

Mnatuhukumu saana, kaeni na hao walevi wenu nasi tuishi kwa amani wajameni 😂🤣
 
Back
Top Bottom