Kama unataka drama katika maisha yako date mwanaume ambae hanywi

Dah! Hapa tumechafuliwa sana, hope kuna mwenzetu mmoja kayatibua huko na lawama zake tumepewa wote. Hili ni shambulio kubwa sana kwetu. Oh!

Ova
Nilitaka kusema kitu lakini ngoja kwanza, utamu wa ngoma uingie ucheze. Nikishaicheza na mimi nitakuwa na uhakika wa nitakachokisema.

Ila amenitisha? Mh!
 
Eti wanapenda uchi. Kwani unakuwa umeenda kutalii? Kilichokupeleka unakikwepa. Si urudi ulikotoka? Kichwa ngumu,unaona nayo sifa. Kwa mwanaume? Labda atavumilia mtoto wa kiume. Kilete,kitapunguzwa au ufurumushwe.
Yaani kuja na begi la chupi na sidilia,ndo kinachowapa kichwa eh!
 
Atakunywa tu, akikataa sana mpe maziwa.
 
Umalaya tu unakusumbua unajipendea walevi ili ujiachie kukigawa kwa Gen Z
 
Kuna shida mahali juu ya mtoa post. So unaona ni heri uishi kaburini kisa uhai unakusumbua?
 
Ukiandika kama mlevi au sio?
 

Ha haaaa😂😂 nyoko wewe 🌹, haya kadate na walevi wenzako👆
 
Mimi ni mwanaume ila kiukweli kama haupigi vyombo sitaki hata ushkaji maana utanishauri papuchi tu
 
Una matatizo mkuu

Yaani wewe kuwa. Na mwanaume huyo ambaye sio mlevi ndo utuweke wote
 
Una matatizo mkuu

Yaani wewe kuwa. Na mwanaume huyo ambaye sio mlevi ndo utuweke wote
 
Nilitaka kusema kitu lakini ngoja kwanza, utamu wa ngoma uingie ucheze. Nikishaicheza na mimi nitakuwa na uhakika wa nitakachokisema.

Ila amenitisha? Mh!
Daah!
 
Mbona unachanganya Mambo mzee, unaongelea upande gani?
 
Sasa kama sinywi pombe unataka srarehe yangu iwe nini zaidi ya nyuchi
 
Kwanini bar nyingi zina guest house
 
Tuache nenda kwa walevi wenzako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…