AiseeKuna matatizo ya kujitakia na matatizo ya kutokea tu, ila kama unataka kuona kila aina ya rangi ya mwanamke, kaoe feminist activists, nili mshauri brother hairishe ndoa na huyu mwanamke "femanist" hakunisikia lakini sasa ona amekimbia nyumba yake aliojenga kwa miaka 15, kwa mikopo ya kazini, kakimbia na kupanga chumba na sebule Mbezi mwisho, ukimuuliza kulikoni anaguna tu na kuondoka, ila taarifa zote tumezipate kutoka kwa rafiki yake mke wake duh.......
Mnaoa maslay queen Na wadangaji then mna generalize wanawake wote wakati wanawake Wema wapo hamwataki mnawaona wabaya Na washambaKuna matatizo ya kujitakia na matatizo ya kutokea tu, ila kama unataka kuona kila aina ya rangi ya mwanamke, kaoe feminist activists, nili mshauri brother hairishe ndoa na huyu mwanamke "femanist" hakunisikia lakini sasa ona amekimbia nyumba yake aliojenga kwa miaka 15, kwa mikopo ya kazini, kakimbia na kupanga chumba na sebule Mbezi mwisho, ukimuuliza kulikoni anaguna tu na kuondoka, ilmna taarifa zote tumezipate kutoka kwa rafiki yake mke wake duh.......
mleta mada anazungumzia feminists sio wadanaji ama slay queensMnaoa maslay queen Na wadangaji then mna generalize wanawake wote wakati wanawake Wema wapo hamwataki mnawaona wabaya Na washamba
Sio slay queen wanawake ni wale wale ila wanakua determined na group wanazo socialise nazo feminist sio mke, mpaka analazimisha mme wake afanye "screaming" wakati wa kitendo cha ndoa eti ni haki sawa wote.Mnaoa maslay queen Na wadangaji then mna generalize wanawake wote wakati wanawake Wema wapo hamwataki mnawaona wabaya Na washamba
πππDemu yoyote anaye comment JF sio wa kuoa,
Wengi ni wezi, na vishirikina.
Mama yao mlezi anaitwa Chimamanda Ngozi Adichie, Beyonce alimshitirikisha kwenye Wimbo wake unaitwa Flawless (unazungumzia feminist)Kuna matatizo ya kujitakia na matatizo ya kutokea tu, ila kama unataka kuona kila aina ya rangi ya mwanamke, kaoe feminist activists, nili mshauri brother hairishe ndoa na huyu mwanamke "femanist" hakunisikia lakini sasa ona amekimbia nyumba yake aliojenga kwa miaka 15, kwa mikopo ya kazini, kakimbia na kupanga chumba na sebule Mbezi mwisho, ukimuuliza kulikoni anaguna tu na kuondoka, ila taarifa zote tumezipate kutoka kwa rafiki yake mke wake duh.......
Mkuu hajakukuta tu, tulisha mlazimisha arudi kwake akasema kama ndo hivo bora arudi kijijini kwao bado kuna mashambaWanawake wa siku hizi mapenzi kwao ni ajira. Btw huyo jamaa ni kunguru tu, unakimbiaje mji wako sababu ya k mmoja
Kuna vidada humu ni vijizi sanaa, mtu unaiba mtungi wa gesi kweli???πππ
Pole sana mkuu kwa yaliyokukuta, ila lazima pia ujiulize kwanini wewe..?
Hayajakukuta Mwanamke ana maneno makali sana yanaupasua moyo kabisa utasikia Mwanaume mzima dakika 2 dakika 2 umemaliza kunipakapaka majasho tu unaniacha na hamu zangu kila siku nimekuchoka na siku hizi nitakua sikupi, sasa wale wasio na kaba (koromeo) wanaishia kufanya hiviWanawake wa siku hizi mapenzi kwao ni ajira. Btw huyo jamaa ni kunguru tu, unakimbiaje mji wako sababu ya k mmoja
π€£π€£π€£π€£π€£ Umefanya nimecheka Kwa sauti mbele za watu khaaaDemu yoyote anaye comment JF sio wa kuoa,
Vingi humu ni vijizi, na vishirikina.
Mkuu umeumizwa na videmu uchwara uwe muangalifu husiamini mwanamke yoyote.Kuna vidada humu ni vijizi sanaa, mtu unaiba mtungi wa gesi kweli???
Dada mzuri anatembea na lihirizi inafanya kupumua? Angenitoa kafara yule.
Dada Kama wewe sio slay Queen ncheki PM nna Zawadi yako.. Nataka nkukabidhi Hazina.Mnaoa maslay queen Na wadangaji then mna generalize wanawake wote wakati wanawake Wema wapo hamwataki mnawaona wabaya Na washamba
Mkuu punguza kasi utagonga bure sio hivo jitahidi kupunguza mwendo.Dada Kama wewe sio slay Queen ncheki PM nna Zawadi yako.. Nataka nkukabidhi Hazina.
πππKuna vidada humu ni vijizi sanaa, mtu unaiba mtungi wa gesi kweli???
Dada mzuri anatembea na lihirizi inafanya kupumua? Angenitoa kafara yule.
Umeshajua nilichokusudia kuteta nae??Mkuu punguza kasi utagonga bure sio hivo jitahidi kupunguza mwendo.