Kama unataka kifo cha haraka jichanganye kwamba unajua mapenzi uoe "Feminist"

Kama unataka kifo cha haraka jichanganye kwamba unajua mapenzi uoe "Feminist"

Kuna matatizo ya kujitakia na matatizo ya kutokea tu, ila kama unataka kuona kila aina ya rangi ya mwanamke, kaoe feminist activists.

Nilimshauri brother aahirishe ndoa na huyu mwanamke "femanist" hakunisikia lakini sasa ona amekimbia nyumba yake aliojenga kwa miaka 15, kwa mikopo ya kazini.

Kakimbia na kupanga chumba na sebule Mbezi mwisho, ukimuuliza kulikoni anaguna tu na kuondoka, ila taarifa zote tumezipate kutoka kwa rafiki yake mke wake duh.
Mada hii inawahusu kina Maria Sarungi na Fatma Karume.
 
wanawake waliochelewa kuolewa 38 hadi 50 uwe makini nao sana kama unataka kuoa na uishi kwa amani.
Ukitaka amani ata kama una miaka 60 achana na mwanamke walio zaliwa miaka ya 70s na early 80s, nimeshuhudia wengi ni matatizo kwenye ndoa tena wengi ni ex-singo mazas ni wasumbufu bala kibri ndo usiseme kabisa.
 
Back
Top Bottom