To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
🤣🤣🤣🤣🙌Hatuwadharau jamani shida chura jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🙌Hatuwadharau jamani shida chura jamani
Mkuu kuwa uyaone yajakukuta mwombe sana mungu usije ukayapata inawezekana jamaa amekimbia kuepusha na mambo mengine mabaya mbele alichofanya naona ni sahihi unajua mkuu ni Bora ukajifanya mjinga Ili maisha yaendeleeWanawake wa siku hizi mapenzi kwao ni ajira. Btw huyo jamaa ni kunguru tu, unakimbiaje mji wako sababu ya k mmoja
😂😂😂 Daah mkuu, maelezo hats kidogo basi huenda nishawapata sema siwajui tuSiku utakae mpata ndo utawajua vizuri, neenda ofisi za Finca, Fida utawaona wengi wapo.
😂😂😂😂Demu yoyote anaye comment JF sio wa kuoa,
Vingi humu ni vijizi, na vishirikina.
Mkuu "stupid creature" maanake ni ndo hao wanawake feminist au wanao wakimbia.Mko busy kufungua nyuzi kuhusu wanawake mnaacha kujijadili nyinyi WANAUME NA JUHUDI ZENU ZA KUBAKA WATOTO WADOGO stupid creatures
Achilia mbali kuoa, kuwa na nyumba ndogo ya over 35+ yrs ni kujitakia kifo cha mapema ukaacha mkeo na watoto.Ukitaka amani ata kama una miaka 60 achana na mwanamke walio zaliwa miaka ya 70s na early 80s, nimeshuhudia wengi ni matatizo kwenye ndoa tena wengi ni ex-singo mazas ni wasumbufu bala kibri ndo usiseme kabisa.
Hahaha unajua mwanamke akiwa over 35yrs anakua unatafuta mtu wa kumutunza yeye na watoto wake, huo ni umri wake wa lala salama, analazimisha wewe umpe kila kitu alicho kosa huko nyuma, kwa mbinu zote ukichezea ana kumaliza, wakati ujana wake kaupoteze na watu wengine loh.Achilia mbali kuoa, kuwa na nyumba ndogo ya over 35+ yrs ni kujitakia kifo cha mapema ukaacha mkeo na watoto.
Unajua tofauti ya slay queen na ferminist?Mnaoa maslay queen Na wadangaji then mna generalize wanawake wote wakati wanawake Wema wapo hamwataki mnawaona wabaya Na washamba
Aiseee.! 😀😀😀Sio slay queen wanawake ni wale wale ila wanakua determined na group wanazo socialise nazo feminist sio mke, mpaka analazimisha mme wake afanye "screaming" wakati wa kitendo cha ndoa eti ni haki sawa wote.
Unashangaa!!! watu hukutana na mengi, usione wanacheka na wengine kusinzia kwenye daladala.......Aiseee.! [emoji3][emoji3][emoji3]
I choose Vayolens 😂😂😂Demu yoyote anaye comment JF sio wa kuoa,
Vingi humu ni vijizi, na vishirikina.
Uko sahihi ila nawenyewe wanafikia hatua ya kupenda kua na natural demad of owning one husband before its too late.Kuna kitu ambacho nice guys bado hawajakigundua. Nataka niwaelekeze hapa kwa faida ya wote.
Hoe and partying ndio maisha ambayo wanawake wa kisasa wamechagua kuishi, wenyewe wanajua ndio uhuru huo.
Kibuli, jeuri na ushindani ndizo tabia ambazo wanawake wa kisasa wamechagua kuziishi, wenyewe wanajua ndio ferminism iyo.
Mwanamke wa kisasa haitaji wewe umuokoe, haitaji wewe umuelekeze cha kufanya, anachohitaji ni mchango wako katika iyo partying, hoe and bad girl life aliyoamua kuiishi.
Usipoteze muda kumbadilisha au kutengeneza nae mahusiano siriaz mfano ndoa. Wewe piga, mfanyie michezo yote ya kishenzi anayoitaka wakati wako ukiisha wapishe mabaharia wengine waendeleze ulipoishia.
Kama hauwezi kuendelea kumfanyia uhalibifu kuanzia pale ulipomkuta basi muepuke kuanzia mwanzo kabisa. Don't try to fix her, you will endup destroying yourself.
Feminist katika Moja na mbili 😆Mko busy kufungua nyuzi kuhusu wanawake mnaacha kujijadili nyinyi WANAUME NA JUHUDI ZENU ZA KUBAKA WATOTO WADOGO stupid creatures
The only time a modern woman want real man to settle with is when she has been demaged beyong repair.Uko sahihi ila nawenyewe wanafikia hatua ya kupenda kua na natural demad of owning one husband before its too late.View attachment 3092215
Siyo anaye comment tu, mwanamke yeyote ambaye anatumia JF usioe.Demu yoyote anaye comment JF sio wa kuoa,
Vingi humu ni vijizi, na vishirikina.