Asante sana mkuu!, record keeping inanisumbua sana. Nimejaribu hizi siku tano zilizopita naona nazidi kuchanganyikiwa (5days----145,800/= expenditure), ila nakushukuru kwa kunikumbusha. Nimejigundua pesa zipo ila zimekosa managementKila tumizi lako liandike kwenye diary yako.
Hakikisha kila unapotaka kulala unahesabu hela ulopata na kutoa uliyotumia hili kujua upotevu wa pesa yako.
Kamwe huwezi kutunza pesa hadi siku utakapojua wapi inapotelea.
Umenifurahisha! lla sio kwamba tunapenda kutoa tip, ila ukishapiga vitu vyako unashangaa tu mwenyewe unatoa bila kuombwa!Acha kabisa tabia ya kutoa tip ukienda bar!
Aisee nami nitaanza kufanya hivyoKila tumizi lako liandike kwenye diary yako.
Hakikisha kila unapotaka kulala unahesabu hela ulopata na kutoa uliyotumia hili kujua upotevu wa pesa yako.
Kamwe huwezi kutunza pesa hadi siku utakapojua wapi inapotelea.
Imekaa vizuri.
Ingawa ukiangalia kiundani sana, hakuna kanuni maalum kufanikiwa kimaisha.
Wapo wenye vigezo hivyo vyote ulivyovitaja, na bado hakijaeleweka mpaka hii leo.
Na kwa kumalizia, kwa ambae unaemwamini Mungu.
Jitahidi kumtanguliza Mungu kwa kila jambo unalofanya
well said mkuuTatizo letu ambalo huwa linatusumbua ni namna ya kuanza/mwanzo wa biashara/ndoto zako ndilo tatizo linalotusumbua wengi.
...Na acha tabia ya kuwaamsha walio lala maana wote wakifanikiwa, Nani atamshikia mwenzake akili?