Kama unataka kufanikiwa na kuwa tajiri, acha tabia hizi...

Kama unataka kufanikiwa na kuwa tajiri, acha tabia hizi...

Asante mkuu kwa somo zuri.

Nina kitu cha kuongezea hapo, ni rahisi sana kusema acha uvivu, acha kutumia pesa ovyo, anza kuweka akiba n.k

Ila ni ngumu kuacha uvivu au kutumia pesa ovyo kwa kuambiwa tu na mtu. Kuna haja sasa ya kuanzisha somo la ni jinsi gani mtu unaweza kuacha hizo tabia. Mbinu gani zitumike kuacha hizo tabia.

Kanuni kuu ya kuacha tabia fulani ni kuireplace hiyo tabia na tabia nyingine, let's say unataka kuacha tabia ya ulevi ni lazima uwe na tabia mbadala ya kucover nafasi ya ulevi.

Mfano ukiwa na hamu ya pombe, badala ya kunywa pombe ukifika bar anza tabia ya kuagiza juice kubwa zile na ukiweza kufanya hivyo mara kadhaa kwa mwezi ni mwanzo mzuri katika kubadili tabia usiyoitaka.

NB: Kubadili tabia sio jambo dogo hata kidogo.
 
mkuu nimependa somo lako nitarekebisha iyo hasa ya kuahirisha mambo
 
Asanate baba paroko!, mm namba 5 inanihusu sana naomba Mungu anisaidie sana. Mapato sisimizi matumizi Tembo, dah!. Naomba unishauri kwa hapo tu, kuna baadhi ya miezi nikianza kupiga hesabu za matumizi yangu huwa nakuta natumia hadi 1M na nipo peke yangu (Bachelor) naishia kuhuzunika, natafuta mchawi wa maisha yangu tu!!. Hebu nishauri kwa PM
 
Wewe mkuu umeshatajirika? Au nawe ni kati ya wale walimu wa utambuzi kila siku "Fanya haya ili uwe kama Dangote" lakini yeye mwenyewe hata pikipiki hana.

Somo zuri though. Asante!
 
Back
Top Bottom