Digital Marketer
Senior Member
- May 1, 2019
- 112
- 149
Labda inafanya kazi kama una akili na nguvu lakini una aibu, uuoga watu watasema nini, hujiamini n.k ili huko utakapoenda ukakae kwa uhuru.Leo niko mbali na home mwaka wa 22 sasa, sijayaona mafanikio.Hii kanuni yako bado sijailewa
If you want to be successful person in this world just scroll, walk, run and fly far away from home meet new people with new ideas join them and do something great
Sent using Jamii Forums mobile app
Haswaa!Leo niko mbali na home mwaka wa 22 sasa, sijayaona mafanikio.Hii kanuni yako bado sijailewa