Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Nimemwelewa mdau, watu wa nyumbani kwenu mara nyingi hawapendi uwe exposed kwenye risk, wanataka uwe kwenye confort zone tu na mafanikio yako kinyume kabisa na comfortability.
Mada ifungwe kwa comment hii!❤