Kama unataka kufanikiwa ondoka nyumbani kwenu

Kama unataka kufanikiwa ondoka nyumbani kwenu

Sawa.
Lkini tukubaliane tu hii ya kutoka ulipo it pays!... Ukiwa mazingira yale yale ni ngm sana..kubadilisha marafiki...nk nk!..
Imagine kitaa hakuna ht mshikaj anayejitambua wote wale wale..sanasana mnaishia kwenye peer groups !
Inategemea na mtu mkuu
 
Unaenda wapi, utakaa kwa pesa gani huko kula na pakulala.

Kuondoka nyumbani kilamtu ataondoka ila inategemea umepata influence gani kwa wakati huwo na una backup gani inayokuwezesha....simply mfano hakuna graduate atakayekaa nyumbani pale tu atapo pata ajira yake, hakuna kijana atakayekaa kwao atapopata mtaji na kusimamisha biashara,,,hakuna kijana asiyependa kwenda kua huru.

Sent using Jamii Forums mobile app
With you boss
 
MKUU,

HUTUJUI VIJANA WA NCHI HII KWA KUPENDA MITEREMKO WEWE-

HUTUJUI!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafanikio hayaji sehemu uliyozoea,
Mafanikio sio tabia za kila siku,
Mafanikio sio watu walewale kila siku,
Mafanikio ayachekei mtu,
Mafanikio ni ujasiri hata kama mbele unaona giza nene.
Mafanikio ni maamuzi magumu ambayo mda mwingine inakubidi ukosane na watu wakaribu sana na muhimu katika maisha yako.

Kuwa mkweli kwako mwenyewe

After all kila mtu atakufa kwanini uogope kujaribu?
Bonge moja la THREAD, big up mkuu!
Nimekula madini ya kutosha sana humu mjengoni, salute kwenu nyote wachangiaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom