Hali ngumu ila unapanua uwezo wako wa kufikiri ili umake
Vijana Tuna tatizo la savings,
Tunaspend more than we earn
Tunataka kwenda na fashion
Hatuinvest
Na kukaa nyumbani siyo unakaa kiree Unatoka , Unakaa na wana Unaingia Jf , Unajiunga groups Positive, Huko kwenye social media’s, .
Why usitoboe?
Sasa hivi kuna mikoponya chini Brac huko Laki 2 Hamna kuweka asset unapambania kombe mkuu
Sasa hivi madera habari ya mjini kama upo mkoani dar Huko 6500 Unanunua Unauza 11000, 10000,
Yapo ya 25 Unauza 35000
Viatu , Urembo Dah nasikitika sana kijana anaposema hana kazi ya kufanya , Hana hela
Tuache upuuzi ase