Kama unataka kufanikiwa ondoka nyumbani kwenu

Ni kweli usemayo mkuu lakini unapotoka home unakua na moyo wa kujituma Sana kwa sababu lazima utafte Ela ya kula, Kama Ni Kodi na majukumu mengine Ila ukiwa nyumbani unakuwa unajua si watapika ntakula huwazi kuusu Kodi Wala majukumu mengine,. Mana wingi wa majukumu Ni kipimo Cha akili na kujituma huwezi kaa Toka hasubuh home wakati huna Ela ya kula na unadaiwa Kodi bt all in all mafanikio Ni kujituma ww mwenyewe

hv unaanzaje kutoka nyumban ilhali hujui huko unakoenda utapataje pesa, me naamin haya mambo hayatokei Kwa dharula lazima ujue
 
Sio kwamba ukienda kukaa mbali na kwenu ndio utafanikiwa laaa ila utapata akili tuuu yakutafuta ela na ila kufanikiwa akili ya mtu anavyojiweka katika mipango yake ya maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaenda wapi, utakaa kwa pesa gani huko kula na pakulala.

Kuondoka nyumbani kilamtu ataondoka ila inategemea umepata influence gani kwa wakati huwo na una backup gani inayokuwezesha....simply mfano hakuna graduate atakayekaa nyumbani pale tu atapo pata ajira yake, hakuna kijana atakayekaa kwao atapopata mtaji na kusimamisha biashara,,,hakuna kijana asiyependa kwenda kua huru.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hujaielewwa tu siri ya kuondoka kwenu mkuu...msearch mwanadada anaitwa Yubing Zhang uelewe maana ya kutoka kwenye comfort zone!
 
Manengelo nataka sana kutoka home ila kwa AIM ya kwenda kujichimbia huko kusaka mtaji then nirudi home kuwekeza ninamaana kwenda huko mkoani mbali nikizipata nirudi DSM kuwekeza kwasababu DSM ndio Final nitazeekea hapo.

Ila sijapata connection kwamba mfano naenda Tanga kufanya kitu gani, nafikia wapi, nitajikimu vipi kabla ya kuanza ku make pesa.

Kifupi ww una chance kubwa sana sana sana ya kumake hela kuliko hata mimi!
Maana ww huna familia ya kusema urudi kila mara!

Kifupi una hofu ambayo haipo .huielew ila tu akili umeiremote iwe hvyo! Ni hofu tu hyo!
 
kwani nyumbani na mafanikio ni ardhi na mbingu
??
Nyumbani kuna nini kinachozuia mafanikio?

Stay out of comfort zone doesn’t mean To Quit your job, Stay away from home, But to think BIG
 
Ni kweli usemayo mkuu lakini unapotoka home unakua na moyo wa kujituma Sana kwa sababu lazima utafte Ela ya kula, Kama Ni Kodi na majukumu mengine Ila ukiwa nyumbani unakuwa unajua si watapika ntakula huwazi kuusu Kodi Wala majukumu mengine,. Mana wingi wa majukumu Ni kipimo Cha akili na kujituma huwezi kaa Toka hasubuh home wakati huna Ela ya kula na unadaiwa Kodi bt all in all mafanikio Ni kujituma ww mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni wewe mkuu
Wengine maskani fresh na akili inafanya kazi hela Ya kutafuta msosi,Rent na bills zisizo na maana Unahifadhi unafanyia mambo ya msingi
Maana home Huulizwi msosi Rent
Mara moko moko unajiongeza Kununua mahitaji life linasonga Acha uoga kijana
 
Kwa hali ilivyo ngumu ni heri ubaki nyumbani, huku ukitafuta connection.
 
Hali ngumu ila unapanua uwezo wako wa kufikiri ili umake
Vijana Tuna tatizo la savings,
Tunaspend more than we earn
Tunataka kwenda na fashion
Hatuinvest

Na kukaa nyumbani siyo unakaa kiree Unatoka , Unakaa na wana Unaingia Jf , Unajiunga groups Positive, Huko kwenye social media’s, .
Why usitoboe?
Sasa hivi kuna mikoponya chini Brac huko Laki 2 Hamna kuweka asset unapambania kombe mkuu

Sasa hivi madera habari ya mjini kama upo mkoani dar Huko 6500 Unanunua Unauza 11000, 10000,
Yapo ya 25 Unauza 35000
Viatu , Urembo Dah nasikitika sana kijana anaposema hana kazi ya kufanya , Hana hela
Tuache upuuzi ase
 
Kukopa brac alafu uanze biashara ni very risky..kutafutiana ubaya tu na group lako!..nakuunga mkono mishe ni nyingi sana sana sana! Ni kila mtu na upembuz wake
 
nimetoa tuu kama mfano mkuu kwa wasio na mtaji alafu wana kaa home

Sawa.
Lkini tukubaliane tu hii ya kutoka ulipo it pays!... Ukiwa mazingira yale yale ni ngm sana..kubadilisha marafiki...nk nk!..
Imagine kitaa hakuna ht mshikaj anayejitambua wote wale wale..sanasana mnaishia kwenye peer groups !
 
Back
Top Bottom