Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Nimemwelewa mdau, watu wa nyumbani kwenu mara nyingi hawapendi uwe exposed kwenye risk, wanataka uwe kwenye confort zone tu na mafanikio yako kinyume kabisa na comfortability.
Inategemea na mtu mkuuSawa.
Lkini tukubaliane tu hii ya kutoka ulipo it pays!... Ukiwa mazingira yale yale ni ngm sana..kubadilisha marafiki...nk nk!..
Imagine kitaa hakuna ht mshikaj anayejitambua wote wale wale..sanasana mnaishia kwenye peer groups !
Inategemea na mtu mkuu
Mbona nilikupa namba unibeep mkuu?...huwa kuna shida ya net niko kwa net nw huenda zikaja
[QUOTE="manengelo, post: 34093450, member: hebu nami nichoree hiyo raman : nipo dar
Ndio katika namba, nimetuma kama 3 hakuna inayo delever.Mbona nilikupa namba unibeep mkuu?...huwa kuna shida ya net niko kwa net nw huenda zikaja
Ngoja niichek tena huend nilijimix!
Sawa Mkuu.[QUOTE="October man, post: 34101108, member: na mie nipe hiyo raman kutoka kwa mangenelo , ni muhimu sana kwangu
With you bossUnaenda wapi, utakaa kwa pesa gani huko kula na pakulala.
Kuondoka nyumbani kilamtu ataondoka ila inategemea umepata influence gani kwa wakati huwo na una backup gani inayokuwezesha....simply mfano hakuna graduate atakayekaa nyumbani pale tu atapo pata ajira yake, hakuna kijana atakayekaa kwao atapopata mtaji na kusimamisha biashara,,,hakuna kijana asiyependa kwenda kua huru.
Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU,Unaenda wapi, utakaa kwa pesa gani huko kula na pakulala.
Kuondoka nyumbani kilamtu ataondoka ila inategemea umepata influence gani kwa wakati huwo na una backup gani inayokuwezesha....simply mfano hakuna graduate atakayekaa nyumbani pale tu atapo pata ajira yake, hakuna kijana atakayekaa kwao atapopata mtaji na kusimamisha biashara,,,hakuna kijana asiyependa kwenda kua huru.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bonge moja la THREAD, big up mkuu!Mafanikio hayaji sehemu uliyozoea,
Mafanikio sio tabia za kila siku,
Mafanikio sio watu walewale kila siku,
Mafanikio ayachekei mtu,
Mafanikio ni ujasiri hata kama mbele unaona giza nene.
Mafanikio ni maamuzi magumu ambayo mda mwingine inakubidi ukosane na watu wakaribu sana na muhimu katika maisha yako.
Kuwa mkweli kwako mwenyewe
After all kila mtu atakufa kwanini uogope kujaribu?