Daviie
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 1,294
- 1,480
Nataman kuyajua haya madude sijui nianzie wapi ?Madude yangu... Ukijua hacking raha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataman kuyajua haya madude sijui nianzie wapi ?Madude yangu... Ukijua hacking raha sana
Kuna jamaa yake na mshikaji wangu anasumbua sana kwa hacking ndogo ndogo mtaani ila chcht anachohitaji anapat
Please ni kozi gani University inatoa hackers machachali
Idea je n ktk fakati ipi?udukuaji haufundishi darasani
Nimeangalia tano kati ya hizo but nadhan ulipaswa kusema kama unataka kupanuka kimawazo as mwana it na sio as hacker mkuu![]()
Habari Ndugu???
Hii ni kwa wale ambao wanapenda kujifunza hacking kama Hupendi Na Huhitaji hebu pita Mbali usiache uchawa hapa.
ZIFUATAZO NI TOP 10 YA MOVIES AMBAZO ZINAONYESHA SUALA ZIMA LA HACKING PROCESS... ZITAFTE LEO UJIONEE!!!!
MOVIES HIZO HIZI HAPA.
#1 Blackhat
#2 ALGORITHM: THE HACKER MOVIE (2014)
#3 SNOWDEN
#4 NERVE (2016)
#5 EAGLE EYE (2008)
#6 Trackdown (2000)
#7 THE FIFTH ESTATE
#8 HACKERS (1995)
#9 WAR GAMES (1983)
#10 Cybergeddon
Asanteni!!!
By Tzhacker 000
How is snowden reflects hacking?au hatuelewi maana ya hacking wakuuonly Snowden na Hacker ndio imereflect maisha halisi ya wadukuzi.
Either way ulikimbia au ulisoma programming ,hacking ia something else mjombakama ulikimbia masomo ya code(programing) hacking utaisikia tu,.......... otherwise utakua detected na kuna cyber crime so be very very very careful
Namba moja yangu ni blackhat braza, hiyo hapana mchezoonly Snowden na Hacker ndio imereflect maisha halisi ya wadukuzi.
Unapenda vya bure angalia nawe usije tumika bure mkuu....Naomba ndugu application ya kudukua sms za mtu bila ya yeye kujua .maana mahacker wengi huomba hela kwa hili
Thank you for your Feed back[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]Nimeangalia tano kati ya hizo but nadhan ulipaswa kusema kama unataka kupanuka kimawazo as mwana it na sio as hacker mkuu
kiongoz hacking ni swala la kucheza na software program na program zooooote dunia hii zina be made by coding....ila kama unataka kua hacker kwa kutumia hacking tool software zilizo tengenezwana na complete hacker kama hizo mnazo tumiana sitaki kuzitaja zipo nyingi mno alafu kibaya kama hack tool hujatengeneza wewe hutajua jinsi ya kujilinda ili usikamatwe au usi hackiwe na wewe......ndomana nikasema be carefully kuna cyber crime......ni ushauri tuuuu......Either way ulikimbia au ulisoma programming ,hacking ia something else mjomba
Usipende vya bure mkuu hapo pia kuwa makini usije dukuliwa kila kitu kwa simu yako."trust will get you killed "ukipata hiyo app utatupa mrejeshoNaomba ndugu application ya kudukua sms za mtu bila ya yeye kujua .maana mahacker wengi huomba hela kwa hili
Inategemeana na hacker anataka kwa mfano white hacker's wale ambao hudukua taarifa kwa sababu za kiusalama na black hacker's ni wale ambao hudukua taarifa kwa ajili ya kupata kitu fulani ili kumdharirisha mhusika endapo atagoma kutoa chochote pia wakati mwingine mtu hufanya hacking kuridhisha nafsiWhy hacking???
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Kweli mkuu siku zote hackers ni programer tena aliye iva upande wa code ambaye anajua kuingia kwenye system pia ulinzi wake...."one mistake one goal"kiongoz hacking ni swala la kucheza na software program na program zooooote dunia hii zina be made by coding....ila kama unataka kua hacker kwa kutumia hacking tool software zilizo tengenezwana na complete hacker kama hizo mnazo tumiana sitaki kuzitaja zipo nyingi mno alafu kibaya kama hack tool hujatengeneza wewe hutajua jinsi ya kujilinda ili usikamatwe au usi hackiwe na wewe......ndomana nikasema be carefully kuna cyber crime......ni ushauri tuuuu......
Mkuu kuna course inaitwa ethical hacker inafundishwa darasani. Si vema kutoa hitimisho kwa jambo usilolijua kiundani.udukuaji haufundishi darasani
sio lazima sana hata kidogo hivo inatosha [emoji23] [emoji23] [emoji23]eagle eye ya shea mbona haina sana mamb ya hacking bro
ITKuna jamaa yake na mshikaji wangu anasumbua sana kwa hacking ndogo ndogo mtaani ila chcht anachohitaji anapat
Please ni kozi gani University inatoa hackers machachali